Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar
1573489198551.png

By Mydaressalaam
 
First and foremost, mdanganyika hawezi nishinda chochote, iwe hoja ama akili. Secondly, you say natupia viscreenshot. Yea am doing that just to remind you of your squolars that you call dream houses. Don't lament about those screenshots coz you do the same about kibera. The only difference is that Kibera is a very small area measuring just over 2.5 square kilometres. Compare that with shabtis of Dar that stretch several kilometres as far as the eye can see. Na Aliyekuambia nyumba za kibera hazina umeme ni nani? Uswazi umeuteka nyara jiji lenu and you dare compare it with Nairobi! Pangeni jiji lenu kwanza before you start comparing it with Nairobi
Sikia Nikki Minaj, sijasign up kuwa humu kuchambana na shangingi kama wewe. Essay yako nzima hujajibu chochote cha muhimu na hii ni proof kwamba huna lolote! Halafu hutujui sisi ni akina nani, na tunafanya nini kwa hiyo don't even dare think kuwa you are better than any of us. Nairobi ni slum hub ya Afrika nzima, na ninashangaa jinsi unavyopingana na facts. Utapata tabu sana Nikki.
 
Mumetangulia kwenye ukabila tu[emoji23][emoji23][emoji23]ukielewa swali msaidie mwenzako kujibu
Heheeee!!usiumie jomba...kumbe ndio mmeanza sai[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo sisi hatuli albino
 
Ooh Dar hakuna slums... Ooh slum lazima iwe na nyumba ya mabati... ooh Dar hakuna nyumba ya matope wala mabati. Ooh leta street level... Ooh Dar hakuna neno slum kwenye Google Maps. What we have are dream houses, huku huwezi pata slum. Ladies and gentlemen, help me welcome the dream hoses of Dar in middle income estates taken at street level [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 1260635View attachment 1260636View attachment 1260637View attachment 1260638View attachment 1260639View attachment 1260640View attachment 1260641View attachment 1260661View attachment 1260662View attachment 1260665View attachment 1260669
Siku hizi unapat akili ya ku crop tarehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sikia Nikki Minaj, sijasign up kuwa humu kuchambana na shangingi kama wewe. Essay yako nzima hujajibu chochote cha muhimu na hii ni proof kwamba huna lolote! Halafu hutujui sisi ni akina nani, na tunafanya nini kwa hiyo don't even dare think kuwa you are better than any of us. Nairobi ni slum hub ya Afrika nzima, na ninashangaa jinsi unavyopingana na facts. Utapata tabu sana Nikki.
A glorified fishing village called Dar haiwezi nipa shida mimi hata dakika moja, especially that one coming from a squalor resident like you who rejoices in living in uswazi sugarcoated as dream houses. Wake up from that stupid dream of yours and face the sad facts of living in a mega slum called dar is slum
 
I should stop talking to a lowlife creature like you. Unanipotezea muda wangu
 
Labda uogelee kwenye dimbwi la maji taka 😂 😂
Siku zote punguani ni punguani tu. Hata mambo yasiyochekesha yeye huwa anafanya yawe masihara. thisis why I never take kenyan niggas seriously. Unadhani watanzania hawana maisha mazuri, it's your problem, not mine kwasababu mimi ndo nayajua maisha yangu.
 
Back
Top Bottom