babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,308
- 35,739
Wanatuwakilisha Vyema kabisa 😂😂😂Wakora tuliopakana nao kaskazini wamekamata no 7 hapo
Wanatuwakilisha Vyema kabisa 😂😂😂Wakora tuliopakana nao kaskazini wamekamata no 7 hapo
Wazee wa list chafu.Wanatuwakilisha Vyema kabisa 😂😂😂
😂😂😂Wazee wa list chafu.
Shukuruni mungu Nairobi ni baridi kungekuwa joto kama dar mngekoma kujenga nyumba za batiBwahahaaa....nimejenga mabati, nyumba ya nn wakati naishi kw bati langu freshy tu
Shukuruni mungu Nairobi ni baridi kungekuwa joto kama dar mngekoma kujenga nyumba za batiBwahahaaa....nimejenga mabati, nyumba ya nn wakati naishi kw bati langu freshy tu
Bado zitanunuliwa bossGari zitanunuliwa na mabwanyeye[emoji23][emoji23][emoji23]
Subutu yake uchumi unanuka madeni😂😂😂Bado zitanunuliwa boss
Bwahahaaaa!!nakwambia hv, magari yatendelea kununuliwa...we ukitaka liaSubutu yake uchumi unanuka madeni[emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee hivi ni subutu ama thubutu?Subutu yake uchumi unanuka madeni😂😂😂
Kitu iko kipo jikoni,mungiki taambia nini watu!