Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sema soda kwenye chupa ya plastic siyo soda ya plastic
Unataka niseme hivyo ili liweje? Na Mbona niseme hivyo wakati hata wewe mwenyewe unasema soda ya plastic? Are you listening to yourself?
Screenshot_20191031-201459.png
 
Hebu tuzungumzie soda take away kenya inauzwa 80-90ksh wakat tanzania soda take away inauzwa 1000 ambayo ni sawa 45ksh akili kichwani mwako
Hiyo takeaway ndio nimesema inauzwa between 60-70 shillings. Mbona ubishi?
 
Tuwekane sawa hapa#

Unasema soda ndogo ina cost 60-70ksh na huwa mnajisifia kuwa pesa yenu ni 22 times ya Tshs

60*22=1320
70*22=1540

Kwa haraka haraka apo utagundua kuwa soda tu itakubidi uwe na sh 1300-1500 Tshs na hzo ni bei za maduka ya kawaida wkt kwa uku Tz soda ni kitu kdg sn ina range from 500-800 ktk normal shops ss huoni kuwa mna maisha magumu sn pia huoni kama pesa ya Tz ina purchasing power kubwa kuliko hyo mnayoicfia ina thamani kubwa kuliko ya Tz
Sasa utalinganushaje Mirinda (I hope I got the name right) au Pepsi na Coke au Fanta? These are not popular brands in Kenya and it's not easy uzipate kwa duka ama hata supermarkets. In the few places you'll find them, Mirinda for example retails for ksh 20 chupa ndogo. For Pepsi I don't even know the price. Hebu tupeni prices za coke ama Fanta we compare
 
Du du du wakenyaaaa!!! Kumbe bei ya vitu kwenu ni ghari namna hiyo !!!!! Tanzania soda ya ni sh500 ndogo sawasawa na Kenya sh 22 kubwa tsh600
Ubaya ni kwamba unalinganisha Pepsi au Mirinda Na coke na Fanta. That tasteless soda called Mirinda retails for ksh20 in Kenya (in the few places you'll be lucky to find it) so wacha kuweweseka
 
Kenyans don't consume Pepsi that much (it's not a popular band in Kenya) but I know it's cheaper than Coke or Fanta even here in Kenya. it's not easy to find Pepsi being sold in Kenyan shops, unless uendee supwermsket. The price am giving you are for Cocacola products. Ungefaa ujibu kutumia price ya coke ama Fanta
LOL even Coca-Cola is more popular in Tanzania more than Pepsi but as long as all are big brands soft drinks, your argument does not add up at all, all the prices are the same
 
LOL even Coca-Cola is more popular in Tanzania more than Pepsi but as long as all are big brands soft drinks, your argument does not add up at all, all the prices are the same
Can you prove that Pepsi and Coke cost the same price?
 
Mkibera mwenzio tyr ameshasema bei rahisi zinapatikana LDC kwahyo km unatetea kwenu uko ukiberani vitu ni bei chee than these from our beautiful country Tz ni km unataka kumkana mkibera mwenzio
Sasa utalinganushaje Mirinda (I hope I got the name right) au Pepsi na Coke au Fanta? These are not popular brands in Kenya and it's not easy uzipate kwa duka ama hata supermarkets. In the few places you'll find them, Mirinda for example retails for ksh 20 chupa ndogo. For Pepsi I don't even know the price. Hebu tupeni prices za coke ama Fanta we compare
 
Af ucjaribu kuikosea heshima Mirinda ww labda nyie uko kwenu inatengenezwa na maji ya kutoka kibera ila uku kwetu ni soda tamu na yny taste nzr
Ubaya ni kwamba unalinganisha Pepsi au Mirinda Na coke na Fanta. That tasteless soda called Mirinda retails for ksh20 in Kenya (in the few places you'll be lucky to find it) so wacha kuweweseka
 
Back
Top Bottom