Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Si hoja wakaazi wa LDC wakishangaa kachumbari inauzwa. Ulisahau kusema sauce inauzwa kando. Kweli hawa LDC tuwapatie miaka mingapi kabla ya kuwa na miundo msingi kama hii. Nimegundua kuwa haters wanaishi tu hapa Nairobi, nivile wanashangaa mbona nchi yao iko nyuma ilhali wamebarikiwa na maeneo kubwa ya kitalii na madini. Seems the only way to dilute the hate is to compare and hate. Nashangaa hawa "expert economists" mbona hawaulizi bei ya fries kule America kama kweli wanelewa maswala haya


Miundo msingi unamaanisha barabara? kwani hatuna? mna BRT? si mna vile vimatatu vidogo ambavyo hata watu hawapumui ndani 😂 😂 kama mnauziwa mchanganiyiko wa nyanya na vitunguu hayo ndo maisha gani sasa? Hivi mna afya kweli nyie? Yaani inachekesha sana kusikia watu wanaotegemea chakula tunacholima sisi wakituita haters. Tungekuwa real haters tusingewauzia chakula mkanunua vya bei ghali kutoka sehemu nyingine.
 
Nani kakwambia kw mama nitilie kenya 50 huli sahani ya ugali au wali...

Huyo kaenda hoteli ya wapigaji..wee jiji hulijui unajifanya mjuaji, endelea kupigwa hvo hvo..utarevuka tu
Kenya wapi labda kibera ,sisi huku KSH90 unapatiwa ugali wenye mboga 4 safi
 
mbona mnajifanya mazuzu. The price of soda ndogo (ya chupa) ni Ksh 35 ila kuna sehemu ukienda you will cough out ksh 200 or more to enjoy the same soda. It all depends with the joint and its location. Personally, I have never bought soda ya plastic for ksh 90 in a normal shop. It costs between ksh 60- ksh 70 in normal shops and restaurants
Du du du wakenyaaaa!!! Kumbe bei ya vitu kwenu ni ghari namna hiyo !!!!! Tanzania soda ya ni sh500 ndogo sawasawa na Kenya sh 22 kubwa tsh600
 
mbona mnajifanya mazuzu. The price of soda ndogo (ya chupa) ni Ksh 35 ila kuna sehemu ukienda you will cough out ksh 200 or more to enjoy the same soda. It all depends with the joint and its location. Personally, I have never bought soda ya plastic for ksh 90 in a normal shop. It costs between ksh 60- ksh 70 in normal shops and restaurants
KSH 70 unauziwa soda 1 Tanzania unapata soda 3 Kwa hiyo hela sasa hapo ndiyo utajua kwanini wakenya mnalipwa mishahara mikubwa na Tanzania tunalipwa mishahara midogo
 
Miundo msingi unamaanisha barabara? kwani hatuna? mna BRT? si mna vile vimatatu vidogo ambavyo hata watu hawapumui ndani kama mnauziwa mchanganiyiko wa nyanya na vitunguu hayo ndo maisha gani sasa? Hivi mna afya kweli nyie? Yaani inachekesha sana kusikia watu wanaotegemea chakula tunacholima sisi wakituita haters. Tungekuwa real haters tusingewauzia chakula mkanunua vya bei ghali kutoka sehemu nyingine.
Toka juzi ma3 zao ni full kelele mle na uno la harmonize!
 
Take way mi nanua 60...hyo ya 80 na 90 ni soda za wapi..na ujue kenya ukiingia hotelini soda, maji huaga bei ni tofauti
Hebu tuzungumzie soda take away kenya inauzwa 80-90ksh wakat tanzania soda take away inauzwa 1000 ambayo ni sawa 45ksh akili kichwani mwako
 
Endelea kujipa matumaini..we kwanza ukija kenya utakufa njaa nakwambia..
Wamekuja na policy mpya kwmb bei rahisi zinapatikana ldc tuwaache tu mana kwny vyakula, majengo,huduma za afya, miundo mbinu, usafiri, uzalendo n.k washakubali nazani tuanzishe mada nyingine hz ztawafanya watuachie thread humu
 
Lagos, the biggest city in Africa
.
10483106_images45_jpegcc50176f11d092dcebd2eb6da74e3123.jpg
 
Back
Top Bottom