Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuwekane sawa hapa#

Unasema soda ndogo ina cost 60-70ksh na huwa mnajisifia kuwa pesa yenu ni 22 times ya Tshs

60*22=1320
70*22=1540

Kwa haraka haraka apo utagundua kuwa soda tu itakubidi uwe na sh 1300-1500 Tshs na hzo ni bei za maduka ya kawaida wkt kwa uku Tz soda ni kitu kdg sn ina range from 500-800 ktk normal shops ss huoni kuwa mna maisha magumu sn pia huoni kama pesa ya Tz ina purchasing power kubwa kuliko hyo mnayoicfia ina thamani kubwa kuliko ya Tz
mbona mnajifanya mazuzu. The price of soda ndogo (ya chupa) ni Ksh 35 ila kuna sehemu ukienda you will cough out ksh 200 or more to enjoy the same soda. It all depends with the joint and its location. Personally, I have never bought soda ya plastic for ksh 90 in a normal shop. It costs between ksh 60- ksh 70 in normal shops and restaurants
 
Mctake kupotezea na kuondoa uhalisia apa hyo bei imeandikwa ktk bango it means ndo kawaida na ndio bei zenu co kwmb jamaa ame bargain hyo ndio hali halisi ya uko kwenu
Mi soda ndogo hku mtaani ni 30 tu..
Jamaa kaingia hoteli analipishwa kachumbari pamona na tomato sauce...
Ukiwa zuka noma kweli..sasa atafanyaje hana ujanja na jiji
 
Tuwekane sawa hapa#

Unasema soda ndogo ina cost 60-70ksh na huwa mnajisifia kuwa pesa yenu ni 22 times ya Tshs

60*22=1320
70*22=1540

Kwa haraka haraka apo utagundua kuwa soda tu itakubidi uwe na sh 1300-1500 Tshs na hzo ni bei za maduka ya kawaida wkt kwa uku Tz soda ni kitu kdg sn ina range from 500-800 ktk normal shops ss huoni kuwa mna maisha magumu sn pia huoni kama pesa ya Tz ina purchasing power kubwa kuliko hyo mnayoicfia ina thamani kubwa kuliko ya Tz
Did you read what I posted ama wewe ni kuweweseka tu? I clearly stated soda ya plastic costs between 60-70 Kenyan shillings ila normal soda ndogo is 30-35. Mbona una uelewa finyu?
 
Did you read what I posted ama wewe ni kuweweseka tu? I clearly stated soda ya plastic costs between 60-70 Kenyan shillings ila normal soda ndogo is 30-35. Mbona unafikiri uelewa finyu?
Ebu tutumie iyo soda ya plastic tuione mana me toka kuzaliwa I have never seen it
 
We jamaa wa wp ww unaongea kitu af unajikataa mwnyw hyo ndyo inferiority complex ya wakenya ambayo wako nayo kwa ss dhidi ya WaTz
Then it's pointless having this debate. Why would you want to talk about something you don't know?
 
We jamaa wa wp ww unaongea kitu af unajikataa mwnyw hyo ndyo inferiority complex ya wakenya ambayo wako nayo kwa ss dhidi ya WaTz
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Eti wakenya wako na inferiority complex dhidi ya Watanzania? Wacha tu nicheke. The pot is now calling the kettle black! We are living in very interesting times
 
View attachment 1249338
Mim nipo Nairobi nimebanwa kidogo na ratiba. Natakiwa kurudi Dar ijumaa, lakin sitarudi ijumaa. Jmosi nitakuwa nina mda mzuri kwa kuzunguka nairobi. Nitakuwa naleta updates humu ... sema kiufupi wana maisha magumu hawa jamaa
Ukikatiza mitaa ya kibera usisahau kuvaa mask mkuu,maana hiyo harufu yake pale si mchezo
 
Did you read what I posted ama wewe ni kuweweseka tu? I clearly stated soda ya plastic costs between 60-70 Kenyan shillings ila normal soda ndogo is 30-35. Mbona una uelewa finyu?
Iyo inaytwa MKUBWA WAO ni tshs 600 tu ss we unasema soda ndogo ya chupa ni kshs 30-35 ambapo kwa jnc mnavyoinadi pesa yenu ni kwmb apo ni sawa na tshs 770

Mna maisha magumu sn kwakweli na hyo japo kimoyo moyo mnakubali
Screenshot_2019-10-30-22-09-24.jpeg
 
Back
Top Bottom