Ppmosile
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 1,232
- 1,890
Hivi ajui kama mirinda kwa tz inatengenezwa na pepsi na bei zao ni same
Af ucjaribu kuikosea heshima Mirinda ww labda nyie uko kwenu inatengenezwa na maji ya kutoka kibera ila uku kwetu ni soda tamu na yny taste nzr
