Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mbona mnajifanya mazuzu. The price of soda ndogo (ya chupa) ni Ksh 35 ila kuna sehemu ukienda you will cough out ksh 200 or more to enjoy the same soda. It all depends with the joint and its location. Personally, I have never bought soda ya plastic for ksh 90 in a normal shop. It costs between ksh 60- ksh 70 in normal shops and restaurants
18a3eefe068e48c490eafccfaa3f550a.jpg


Basi umenipa somo, kumbe pamoja na kujidai pesa yenu ipo juu ya Tsh, lakini bado hata ukii convert kuja kwenye pesa ya Tanzania, Tsh inaonesha ina thamani kubwa zaidi yenu sababu mnatumia pesa yenu kununua kitu ambacho Tanzania kinauzwa nusu ya bei mnayouziwa ninyi hapo Kenya
 
Tuwekane sawa hapa#

Unasema soda ndogo ina cost 60-70ksh na huwa mnajisifia kuwa pesa yenu ni 22 times ya Tshs

60*22=1320
70*22=1540

Kwa haraka haraka apo utagundua kuwa soda tu itakubidi uwe na sh 1300-1500 Tshs na hzo ni bei za maduka ya kawaida wkt kwa uku Tz soda ni kitu kdg sn ina range from 500-800 ktk normal shops ss huoni kuwa mna maisha magumu sn pia huoni kama pesa ya Tz ina purchasing power kubwa kuliko hyo mnayoicfia ina thamani kubwa kuliko ya Tz
Umeongea bonge la point, Tsh ina purchasing power kubwa kuliko Ksh
 
View attachment 1249338
Mim nipo Nairobi nimebanwa kidogo na ratiba. Natakiwa kurudi Dar ijumaa, lakin sitarudi ijumaa. Jmosi nitakuwa nina mda mzuri kwa kuzunguka nairobi. Nitakuwa naleta updates humu ... sema kiufupi wana maisha magumu hawa jamaa
Simon

Hebu tuletee picha za
E3 uswazi
Bahati
Kariobangi South
Kibera
Fullsuti (Dungu) za mabati
Nk

Hata hiyo mitaa ya
River road
Kariokor market
 
View attachment 1249811

Basi umenipa somo, kumbe pamoja na kujidai pesa yenu ipo juu ya Tsh, lakini bado hata ukii convert kuja kwenye pesa ya Tanzania, Tsh inaonesha ina thamani kubwa zaidi yenu sababu mnatumia pesa yenu kununua kitu ambacho Tanzania kinauzwa nusu ya bei mnayouziwa ninyi hapo Kenya
Kenyans don't consume Pepsi that much (it's not a popular band in Kenya) but I know it's cheaper than Coke or Fanta even here in Kenya. it's not easy to find Pepsi being sold in Kenyan shops, unless uendee supwermsket. The price am giving you are for Cocacola products. Ungefaa ujibu kutumia price ya coke ama Fanta
 
Back
Top Bottom