babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,361
- 35,874
Ndio maana huwa wakija bongo hawataki tena kurudi kwao 😂😂😂Aki tena na mimi sijawahi kuona. TZ kachumbari huwa ni complementary kwenye msosi mzima unaonunua ila kwa jirani unauziwa. Ukame hauwaacchi watu salama