Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jaman enh nipo Nairobi, watawaambia nn hawa watu [emoji23]

Soda tu 90, hio 100 na chenji kubaki kwa mama ntilie unakula nn [emoji23]
View attachment 1248717
Sijawah kuona kachumbari na tomato sauce zinauzwa separate mgahawani,hizi ni dalili Za ukora usionasababu...
Utakula chips bila tomato au pilau bila kachumbari?
 
Sijawah kuona kachumbari na tomato sauce zinauzwa separate mgahawani,hizi ni dalili Za ukora usionasababu...
Utakula chips bila tomato au pilau bila kachumbari?
Aki tena na mimi sijawahi kuona. TZ kachumbari huwa ni complementary kwenye msosi mzima unaonunua ila kwa jirani unauziwa. Ukame hauwaacchi watu salama
 
Back
Top Bottom