Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unamendea usiku unajua labda watu wamelala eeh [emoji23][emoji23][emoji23] kumbe mnatuogopa hivi.

Nairobi pekee ziko slum zaidi ya 20.
Hii BRT ya Dar Es Salaam inapitia eneo kubwa sana la slums kwa hivyo hii picha isukudanganye.
 
Keep talking about past news[emoji23][emoji23][emoji23]

Hayo matukio yalishatokomezwa muda sana, lakini nyie mmeshindwa kutokomeza njaa, ukabila nk.
Na nyie heartless Tanzanians si mnaua na kuchinja albinos kwa wingi?
 
Masters of denial, led by their own sisiemu government


Masters of denial led by their sisiemu government
View attachment 1197990
Ushaeelezwa hapo there are no slum in tanzania rather than unplanned settlement leo umejinyonga mwenyeweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ Mukiambiwa hamutaki kukubali mzungu sio mjinga aone slum nairobi asione darπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hii si slum ebu "zoom",mbavu zangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwambie azoom uone kama ata zoom ataishia kutoa maneno ya kanga unagkiri mzungu mjinga sana nyie aone slum za nairobi asione za dar🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…