Kila nyumba mbagala imejengwa kwa tofali na imeezekwa bati ina madirisha mazuri tu na kila nyumba ina choo.
Kibera watu 100s wana share choo kimoja nyumba za mabati madirisha ya kutoboa.
We unaweza kupafananisha na Mbagala ???
Wap panafaa kuitwa slums???.
Mkiambiwa hamkufika mbagala mnaropoka mnabisha.
Hapo chini nakuekea pics za Mbagala kijichi,Mbagala msikitini na mbagala chamazi zifananishe na kibera slums ama kariobangi.
Hyo ndiyo jinsi mbagala ilivyo hakuna mbagala nyingine mbagala kwa sasa ndivyo ilivyo.
Umeona pic za chini huko za Kibera na kariobangi ?????
Sisi hatuishi vile hatuna maisha yale aisee japo kwetu uswazi.
Uswazi kwtu ni zile nyumba za hills pale juu niloziweka.
Asa tathminisha maana unaitajaga mbagala mbagala
View attachment 1198545View attachment 1198546View attachment 1198547View attachment 1198548View attachment 1198550