Godwin Gen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2017
- 1,309
- 2,277
Tukuwe Tu wakweli ebu wacha nikuekee picha za kariobangi,kawangware,huruma/mathare1 .Mathare
2.Korogocho
3.Kariobang
4.kawangware
Etc
Hakuna mwenye uhakika na population ya nchi fulani,hata hiyo uliyoleta wewe 300 mill people si hakika...You were not sure. Even 900 million is still hundreds
Tukuwe tu wakweli pic za kariobangi slums hizi hapa.Tukuwe Tu wakweli ebu wacha nikuekee picha za kariobangi,kawangware,huruma/mathare
Mzungu ako na haki ya kuita haya makaazi slum lakini mbongo kama haufai kuyaita; View attachment 1197939View attachment 1197940View attachment 1197941
Au hiii sio kariobangi ??!!!!Tukuwe Tu wakweli ebu wacha nikuekee picha za kariobangi,kawangware,huruma/mathare
Mzungu ako na haki ya kuita haya makaazi slum lakini mbongo kama haufai kuyaita; View attachment 1197939View attachment 1197940View attachment 1197941
Suala la slum kwa nairobi nalo ni la kubisha?????Zitaje na ulete picha please? otherwise umeambukizwa porojo,
Hapo ni kibera wacha uhuni
Quote hiii ni soko na kawaida siku za mvua hua chafu....endelea kuniletea hizo slums 20 mlikuwa mnasemaAu hiii sio kariobangi ??!!!!View attachment 1197946
Bro kagomee wakenya wenzio wa the citizens .Hapo ni kibera wacha uhuni
Maakazi ambayo mnayaita slums hamfai kuyaita u consider nyie kwenyu ni mbaya zaidi, kama nilivo sema mzungu anaeza iita kariobangi slum lakini mbongo hafai kuotaSuala la slum kwa nairobi nalo ni la kubisha?????
Na ndio maana hapa sijabisha hapa ni mathare lakini vibanda za soko eneo ndogo ambayo inatuma mtaa mzima uuitwe slumBro kagomee wakenya wenzio wa the citizens .
Chini photo imejiandika Kariobangi slum Nairobi ww wabishia hadi reliable evidence ??!!!View attachment 1197950
Duuuh acha weee!!!!!!!Quote hiii ni soko na kawaida siku za mvua hua chafu....endelea kuniletea hizo slums 20 mlikuwa mnasema
Ahaa vp kuhusu hawa watoto wa kariobangi slum nao wapo sokoni??!!!!Na ndio maana hapa sijabisha hapa ni mathare lakini vibanda za soko eneo ndogo ambayo inatuma mtaa mzima uuitwe slum
Unajua kabisa Tanzania hakuna slum lakini unaenda kupoteza muda wako google [emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani huwa unaandika hivi Google Search "Slum in Tanzania" alafu google wanakucheka wanakuandikia you mean "slum in Nairobi"
Kila county kuna slum kenya,
Ushahidi huu hapa kuwa Nairobi pekee ina slums za kutosha.

Masters of denial, led by their own sisiemu government
Masters of denial led by their sisiemu government
View attachment 1197990
nadhani hapo umewamaliza vyema mkuu
Kariobangi hii ndio unaita slum lakini mwanyamala no unplanned settlements wacha double standardsAhaa vp kuhusu hawa watoto wa kariobangi slum nao wapo sokoni??!!!!View attachment 1197982View attachment 1197983
We ni kilaza.Masters of denial, led by their own sisiemu government
Masters of denial led by their sisiemu government
View attachment 1197990