Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The only thing they know about Nairobi is kibera, and I think it's because they have a bigger version of kibera in that glorified fishing village of theirs
Nairobi is a slumhub sio kibera pekee,the list of slums in Nbo is so long,hatuna haja ya kuzitaja
 
Gdp ya India Ni kubwa kuliko ya Australia pia lakin nenda izo nchi ukaone maajabu yake
Kwanza ajira zimesitishwa na hakuna kupanda madaraja watumishi...ukiwa timamu kabisa iyo GDP ni ya nn hasa?kulipia madeni China na Japan? Failed state
sawa mkubwa tumia per capita sasa...population ya india ni mara 50 ya Australia..pop yenu ni kubwa kuliko yetu yet tunawatwanga GDP
 
kinachofuata ....mchizi atajuta
2019-09-04%2012.15.20.jpeg
 
Back
Top Bottom