ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Bila shaka umekasirika😂😂😂Na nyie heartless Tanzanians si mnaua na kuchinja albinos kwa wingi?
Bila shaka umekasirika😂😂😂Na nyie heartless Tanzanians si mnaua na kuchinja albinos kwa wingi?
Hakuna slum dar na hutalipata mpaka yesu ashuke, ngoja nikupe tofaut ya slum na informal settlement👇👇👇👇👇Hii BRT ya Dar Es Salaam inapitia eneo kubwa sana la slums kwa hivyo hii picha isukudanganye.
Ni middle income kwa upande wenu ila kwetu sisi ndio tabaka la chini kabisa na hawaishi kwenye slums kama ilivyo kwa tabaka la chini huko wa kwenuTo bongolas, Kariobangi is a slum but Tandale, Mbagala, Buguruni, Mazense, Vungunguti, Kigogo, Temeke and many other such areas are middle income estates. See the satire in this!
Weka quote ya mTz yeyote aliesema huku ni middle income, yaani hata sisi tulio humuhumu unaturepotia uongo? Wakenya akili zenu labda mnazijua wenyeweSo hiyo ni slum ndani ya Nairobi ila hii hapa ni middle income estate ya Dar 😂 😂 😂 Aliyewaroga alikufa kitambo sana
View attachment 11980135
daah kiba siyo mtu nzuri
Then what are they? Upper middle income? And don't tell me that unplanned settlement bulls**t you keep mentioning here coz I have never seen a planned slumWeka quote ya mTz yeyote aliesema huku ni middle income, yaani hata sisi tulio humuhumu unaturepotia uongo? Wakenya akili zenu labda mnazijua wenyewe
Nan kakwambia Dar kuna slums???Hii BRT ya Dar Es Salaam inapitia eneo kubwa sana la slums kwa hivyo hii picha isukudanganye.
Hahahahhahahahahha we mamaa mkorofiiiii daaaahSour grape syndrome[emoji16][emoji16]
hatari
Terminal 3 ..planes taking off and landing
Daaaah haya malalamiko mara umeme mara nini daaah hela yote hyo then haiendan na matumiz ya watu tatu daaah?!!!!!!!!!
The station View attachment 1198215
You forgot to include these ones too. BRT snailing its way through endless uswazi as it drops people along the way in Dar's "unplanned settlements" aka dream houses. Wacheni kuwa selective nani! Tuonyesheni hata hizi pia. Hizo za cbd tumezichokaDar brt
30 minutes from kivukoni to Kimara mwisho
Big achievementView attachment 1198433View attachment 1198434View attachment 1198435
Asa ona ulivyo mpumbavu.Then what are they? Upper middle income? And don't tell me that unplanned settlement bulls**t you keep mentioning here coz I have never seen a planned slum
Wewe najua kila siku kizungu inakupiga chenga kwa sababu hata kizungu umeandika hapa chenyewe ni kibovu, kwa hivyo wacha nikuharasishie mamboUshaeelezwa hapo there are no slum in tanzania rather than unplanned settlement leo umejinyonga mwenyewe😂😂😂👏👏👏👏 Mukiambiwa hamutaki kukubali mzungu sio mjinga aone slum nairobi asione dar😅😅😅😅
Naona unaleta maneno ya kujifariji.Wewe najua kila siku kizungu inakupiga chenga kwa sababu hata kizungu umeandika hapa chenyewe ni kibovu, kwa hivyo wacha nikuharasishie mambo
View attachment 1198506
Look at how you are trying so hard to prove a point but end up looking stupid. Unasema "nyumba zilizojengwa Kwa ubora na kwa umahiri" while we know these houses are not even connected to a sewer line and sanitation is a big problem there. Anyway, I don't want to delve deeper into that coz maybe that's your standard of "Ubora na umahari" down there in bongolala.Asa ona ulivyo mpumbavu.
Slums zinachagizwa na umaskini,uchafu,unplanned settlemnts vyote vinachagiza slums.
Bimaana hzo settlemnts zitakazojengwa zitajengwa randomly halafu kwa poor standard s kutokana na umaskini ht drainage system zake zitakua za hovyo kutokana na kuchagizwa na umaskini.
Ila nyumba zilizojengwa kwa ubora na kwa umahiri na kwa kuwekwa kila kitu kinachohusiana na ubora wa nyumba lakini zimejengwa randomly huwez ziita slums utaita shanty towns ama unplanned towns ama settlemnts.
Labda hapo utaweza kuelewa.
Ukienda mbagala chamazi kuna nyumba mpk za ghorofa lakin zimejengwa randomly ila kuna kila kitu drainage system zipo zimeunganishwa japo kiugumu hakuna nyumba za mabati km kibera ama kariobangi je utapaita slums???????
Hyo ya juu soko la temeke Tandika unaweza nambia slums zinapitiwa na tarmac km hvyo ???
Tazama na soko la kariobangi lilivyo chafu km la kuuza pig food unaweza fananisha na la Tandika??
Kwa upeo wako wa fikra wap kuna slum kat ya Tandika na kariobangi ???View attachment 1198503View attachment 1198505