Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehe.... hizo building ni fupi sana,Uap ikisimamishwa hapo Dar tutaanza kusema Dar iko na tower moja pekee
Mnaumia Kwa kua Hamna nyumba ya kusumbuana nazo...Na tutazipost hadi tusikie ulizima
 
AUGUST 24, 2019 / 7:02 PM / UPDATED 14 HOURS AGO
S.African court impounded Tanzanian Airbus over unpaid compensation to farmer - lawyer

JOHANNESBURG, Aug 24 (Reuters) - South Africa’s High Court impounded an Airbus 220-300 aircraft leased by Tanzania’s national flag carrier following an application by a retired farmer who was not paid compensation owed to him by the Tanzanian government, the farmer’s lawyer said on Saturday.

The lawyer, Roger Wakefield of Werksmans Attorneys, said the Tanzanian government owes the farmer $33 million, including interest, in compensation awarded to him after having his land in Tanzania expropriated. (Reporting by Emma Rumney Editing by Frances Kerry)

Our Standards:The Thomson Reuters Trust Principles.

wasipo elewa na hapo wakaoge
 
Mara World Bank wakisema mnapika takwimu za uchumi Tz mnakanusha vikali na hapa wakisema hili makimbilia . Nyie ni wanafik kweli kweli hamna msimamo. Hizo data za Dar real estate kuwa $12bn ni ndoto tu hakuna uhalisia.
Wivu wa kitoto. Pale tunapoona kuna makosa lazima tukosoe. We ni mjinga tu.
 
Hey ,did need some assistance with something urgent? Kuja ofosini ama tukutane jukwaa hili tushauriane.
Dah hata sifanyi kaz za ofisini bado kwahyo sihitaji msaada labda nikianza fanya kaz za ofisini I will find you for assistance or help.
 
Mara World Bank wakisema mnapika takwimu za uchumi Tz mnakanusha vikali na hapa wakisema hili makimbilia . Nyie ni wanafik kweli kweli hamna msimamo. Hizo data za Dar real estate kuwa $12bn ni ndoto tu hakuna uhalisia.
Daaah we jamaa kwahyo unapingana na hyo ripoti ya IMF???
 
Hii upper Emmanuel estate inapatikana wapi hii Nairobi? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Huu ni mwaka wangu wa kumi na moja nikiishi Nairobi na Sijawahi sikia mtaalamu Kama hiyo Nrb
Mbona umalize muda wako kubishana na kilaza asiyeelewa chochote? Duniani kote,watu wananunua apartments , kwanzia hongkong, Shanghai, new York, Chicago etc na ni real estate ndio zimechangia hayo majiji kukua Kwa Kasi Sana . Huyo dogo hawezi akaelewa chochote maana amejifungia katika kijiji chake sasa yuadhani kijiji chake ndicho Bora,mwambie atembee Kwa nchi za watu atarudi ahadithie wajomba zake.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
na ndio kumechangia watu kukimbia makazi kuwa masikini mpaka inazaa kibera
 
Mbona umalize muda wako kubishana na kilaza asiyeelewa chochote? Duniani kote,watu wananunua apartments , kwanzia hongkong, Shanghai, new York, Chicago etc na ni real estate ndio zimechangia hayo majiji kukua Kwa Kasi Sana . Huyo dogo hawezi akaelewa chochote maana amejifungia katika kijiji chake sasa yuadhani kijiji chake ndicho Bora,mwambie atembee Kwa nchi za watu atarudi ahadithie wajomba zake.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
ukishajenga mwenyewe sio sawa na kupanga buda wewe baada ya kutafuta ela ya kujiendeleza unatafuta ela ya kodi, iyo kwa tanzania aipo ndio maana ya kukosekana kwa slum dar maana mambo yakiyumba kidogo utakimbia mji.
 
Dar es salaam
#Hatubahatishi
1566740979848.png
1566741075703.png
 
ukishajenga mwenyewe sio sawa na kupanga buda wewe baada ya kutafuta ela ya kujiendeleza unatafuta ela ya kodi, iyo kwa tanzania aipo ndio maana ya kukosekana kwa slum dar maana mambo yakiyumba kidogo utakimbia mji.
Kwa taarifa yako, wakenya wengi hawapangi wananunua apartments, huwezi ukajua maana haya mambo kwenu hayapo .miaka ishirini ijayo kuna uwezekano Kenya kuwe na watu million 80 na Nairobi pekee itakua na million 10 sasa ukisema kila mtu ajenge nyumba yake atakavyo jiji litakua hovyo Sana na Kwa hio sababu serikali ndio inatoa plan vile mitaa inafaa kujengwa ,na hata serikali imeweka mikakati kujenga nyumba za gharama ya chini Kwa manufaa ya mwananchi .hebu neleze Dar in 20 years to come itakuaje kama kila mtu anajenga nyumba yake kiholela hivyo.

Sio lazima kwa kila mtu kuishi kwenye apartments. Angalia miji kama Los Angeles. Nyumba nyingi za kuishi watu sio apartments lakini bado mji umepangika vizuri tu. Labda useme kuwa mamlaka husika hazisimamii ujenzi na watu wengine wanajenga holela bila kufuata taratibu.
 
Back
Top Bottom