Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ww endelea kuonesha estate za umoja alafu badilisha kila angle hujanijibu swali most of those estates watu wame rent sasa nijibu swali kurent estate ni middle income ????😆😆😆😆😆😆

So google earth haikuona slum dar ila ikaona naorobi tu???🤣🤣🤣🤣
Nimeleta estates nyingi sana. Donholm, Buru Buru, Komarock, Kariobangi, Umoja, Jericho, Embakasi na nyinginezo and I can even bring more eastlands estates if you want. Kama uliona tu Umoja pole basi
 
Tafuta mtu wakumdanganya sio mm budaa 😆😆😆😆😆 infact ww hujui maana ya middle income kwa vile ukikodisha bedsitter pale umoja naww unajiona middle income 😅😅😅😅😅
 
Nimeleta estates nyingi sana. Donholm, Buru Buru, Komarock, Kariobangi, Umoja, Jericho, Embakasi na nyinginezo and I can even bring more eastlands estates if you want. Kama uliona tu Umoja pole basi

Estate hata huku zipo lakini most of people wanamiliki nyumba zao walizojenga wao wenyewe ndio maana uishangae kuona vijana wadogo wanamiliki ardhi na nyumba zao binafsi jambo ambalo halipo nairobi wanaomiliki ardhi ni wanasiasa na wafanyabiashara wakubwa 😆😆😆😆 nyinyi kwangu pakavu tia mchuzi subirieni yesu arudi mutamiliki hata hzo estate ulizopost ww nyingi zinamilikiwa na investors
 
Umekasirika au umepanic mukiambiwa ukwei munakasirika ahahhaa eti watu wengi wanakiliki subutu mm kuna czn zangu wanaishi upper emmanuel estate wananiambia most of estate zimekodishwa ww unaniambia wanamiliki 😆😆😆😆😆😆 na estate nyingi zinamilikiwa na investors
Hii upper Emmanuel estate inapatikana wapi hii Nairobi? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Huu ni mwaka wangu wa kumi na moja nikiishi Nairobi na Sijawahi sikia mtaalamu Kama hiyo Nrb
 
Hii ni mbagala unaeza ona middle income kila mmoja kajenga nyumba yake anayotaka na sio kwenda ku rent kwenye estate za investors😆😆😆😆👇👇👇👇
EF0010A7-C72C-472A-9011-321849C95419.jpeg
 
Hii upper Emmanuel estate inapatikana wapi hii Nairobi? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Huu ni mwaka wangu wa kumi na moja nikiishi Nairobi na Sijawahi sikia mtaalamu Kama hiyo Nrb

Google utapata jibu naona unapata tabu sana kutafuta kick😆😆😆😆 eti estate wanamiliki watu subutu wanaomiliki wako wapi hao😅😅😅😅

Nusu ya kenya inamilikiwa na familia moja hio kibera itaacha kua na wakazi 2.5m
 
Yani nimecheka sana mzungu asione slum kwa google earth alaf ww ndio uone slum😆😆😆😆😆😆
 
Estate hata huku zipo lakini most of people wanamiliki nyumba zao walizojenga wao wenyewe ndio maana uishangae kuona vijana wadogo wanamiliki ardhi na nyumba zao binafsi jambo ambalo halipo nairobi wanaomiliki ardhi ni wanasiasa na wafanyabiashara wakubwa 😆😆😆😆 nyinyi kwangu pakavu tia mchuzi subirieni yesu arudi mutamiliki hata hzo estate ulizopost ww nyingi zinamilikiwa na investors
Unamaanisha hizi nyumbani au?

Screenshot_20190801-183919.png

😂 😂 😂
Kama hizi ndio nyumba vijana wa Dar wanamiliki then wacha tu nicheke. Na uko tu serious and very proud ukisema hivyo!
 
Unaposema investors unamaanisha nini?
 
Unamaanisha hizi nyumbani au?

View attachment 1169614
😂 😂 😂
Kama hizi ndio nyumba vijana wa Dar wanamiliki then wacha tu nicheke. Na uko tu serious and very proud ukisema hivyo!
Wewe usipate tabu zoom hio map alaf tuoneshe wapi slum labda hujui maana ya slum wewe😆😆😆😆👇👇👇👇👇
Yani mzungu asione slum uone wewe🤣🤣
7C623B5F-CC58-4074-BD04-45C85EB53235.jpeg
 
Unamaanisha hizi nyumbani au?

View attachment 1169614
😂 😂 😂
Kama hizi ndio nyumba vijana wa Dar wanamiliki then wacha tu nicheke. Na uko tu serious and very proud ukisema hivyo!

Mtu akiangalia map tayari kashajua ni informal settlement wewe unalazmisha slum hahahha 😆😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom