Naona vijana wa Kenya wamepagawa kweli kweli na hii picha [emoji16][emoji16]
Mnajua fika Dar ni kubwa kuliko NBO hivyo basi sitegemei uniambie eti CBD ya Dar ni ndogo kuliko za NBO though inaweza ikawa ila sio kwa size ya CBD ya Dar
Dar's CBD including Posta, Kivukoni, Upanga East, Mchafukoge those places ziko far apart
Hiyo picha kuna maeneo mengi sana hapo kati, au umesahau ku interpret photographs secondary....
Hiyo CBD ipo middle and background part of the photo kwahiyo lazima features zionekane ndogo, hushangai kwenye industries hapo kwanini zinaonekana kubwa..
Ukweli utabaki pale pale Dar is huge na CBD yake pia....
Af kuna wataalam hawapo hapo [emoji851][emoji851] Kijitonyama, Morocco, Along Sam Nujoma Rd, Kino, Mikocheni, Msasani Peninsula yote including Masaki, Oysterbay etc ko mjitathmini nyang'aus