kifusi boy
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 1,141
- 1,750
Kulia lia hakusaidi chochote.....hii ndio na ni kitu kidogo sanaSasa ongeza upanga, Kariakoo na ilala unapata hii ndogo kunduView attachment 1188053View attachment 1188054
Mbona kama unateseka hivi, Dar si mchezo etii...
Asubuh yote hii inakutoa jasho, relax bro take a cup of tea kwanza
Kwenye vigorofa gorofa pale kuna
Posta, Upanga ( East + West ), Kivukoni, Mnazi Mmoja, Gerezani, Kariakoo ( Huge ), Mchafukoge, Ilala ( Karume, Mchikichini, Boma )
Huku kwenye Viwanda
Hii ni Chang'ombe industrial area plus along Nyerere Road industrial area,
Keko kwa mbaaali, Temeke Bora
Af hii picha ina wilaya mbili tofauti at the same (Ilala na Temeke) moja kati ya picha adimu sana kuonekana Dar kwasababu ya ukubwa wa Dar...
FYI Dar ina Wilaya 5 hapo kuna chembe ya Wilaya 2