Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hivi hii picha amkuiona au mnafanya makusudi
EAaViq2XsAUw8DZ.jpeg
 
Nini hufunzwa shule za tz jameni? Wakati dunia inalia msitu wa amazon ukichomeka na viongozi kuweka mikakati ya GOING GREEN by 2030, mtz anaona ni vibaya jiji kua na msitu na miti mingi kila mahali. Sasa concrete jungle kama darisslum inasaidia na nini? Na hilo hilo jiji lenu ndo litakua la kwanza kumezwa maji sea level zikirise sababu ya deforestation. THINK before you type
Miti iwe sehemu ndogo,we unadhani dar hakuna miti???. lakini hiyo ya nairobi ni too much..huo si mji ni msitu

Anyway amazonia si mji,vichaka vipo vingi tu tz,ukitoka nje ya dar utakuta miti na misitu mingi sana lakini si katikati ya jiji...usisingizie schools,school haikusema vichaka viwe all over the city..
 
Sasa wewe unafikiria assumption zako ndio kigezo cha venye watu wanafaa kuishi maisha yao? Nairobi inafaa ata kuongezwa miti hadi ikae hongkong flani. Nyinyi kwa masomo yenu finyu endeleeni kukata miti jijini ndio iskue 'too much'
 
Huyo jamaa anaropoka sana.
Hajui km Dar ni two times bigger kuliko Nairobi.
Hiyo kariakoo tu nahisi ni sawa na district ya nairob moja.
Umesema vyema. Unajua wakenya humu sio wazima wa akili kabisa. Wanasema "tower tatu" kwasababu hizo ziko more prominent kuliko majengo mengine cbd. Hawajui ya kuwa cbd ina majengo mengi tu yenye 20+ floors. Usihangaike na wajinga. Waache waonyeshe ujinga wao na siku wakikua wataacha.
43980212500_14d9473428_o.jpg
1b3eca203321e18da4a7238651478ad2 - Copy.jpeg
28095999047_27c47fda1d_o.jpg
30757583715_c82dc2c7df_b.jpg
32238024743_743a186094_b - Copy.jpg
33878633294_70b7016f3b_k.jpg
CwbyS6bWQAIcRKj.jpg
DkfTh5rX0AA8Lqf - Copy.jpg
Dfc7AmEXUAAzROh - Copy.jpg
36419420095_dffaaf439a_b - Copy.jpg
32088076464_8f2cb7939e_b - Copy.jpg
32088084724_bb3696acea_b.jpg
 
As usual the three tower made it to that photo
What the HELL do you want? tupost bila pspf towers, tpa tower na mnf square towers? Kwa taarifa yako, tutaendelea kupost hadi unaingia kaburini. Labda ufanye sijui nini uyang'oe kutoka kwenye foundation zao. Tumeshawahi kuwalalamikia mkipost hizo tower za wachina? mmekosa kingine cha kuflaunt? jitu zima ila akili bado ya kitoto, kua akili maana humo kwenye ubongo ni matope tu yamejaa.
 
Umesema vyema. Unajua wakenya humu sio wazima wa akili kabisa. Wanasema "tower tatu" kwasababu hizo ziko more prominent kuliko majengo mengine cbd. Hawajui ya kuwa cbd ina majengo mengi tu yenye 20+ floors. Usihangaike na wajinga. Waache waonyeshe ujinga wao na siku wakikua wataacha.
View attachment 1188406View attachment 1188392View attachment 1188396View attachment 1188397View attachment 1188400View attachment 1188401View attachment 1188403View attachment 1188405View attachment 1188404View attachment 1188402View attachment 1188398View attachment 1188399
Pole sana mimi nimezoea hii yenye iko na tatu
tapatalk_1564283120213.jpeg
 
Nairobi sio ya building tatu kama Dar,hebu tazama hii
What the HELL do you want? tupost bila pspf towers, tpa tower na mnf square towers? Kwa taarifa yako, tutaendelea kupost hadi unaingia kaburini. Labda ufanye sijui nini uyang'oe kutoka kwenye foundation zao. Tumeshawahi kuwalalamikia mkipost hizo tower za wachina? mmekosa kingine cha kuflaunt? jitu zima ila akili bado ya kitoto, kua akili maana humo kwenye ubongo ni matope tu yamejaa.
tapatalk_1563099713086.jpeg
 
120 Reactions
Reply
Back
Top Bottom