Tz_one
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 2,891
- 7,550
Ngoja ni clarify kitu ...kigamboni haikucost 136usd ni more than that around 150mil usd ila sio mbaya ni maeneo hayo hayo ..kumbuka kimara kibaha ni$70m ni 19km ila ina lane 8 usisahau hyo....sasa road za single lane zitacost sh ngap..cost ya kujenga road Tz ni kama 1-1.5bilion tsh per km that means ukiwa na 25mil usd sawa na 50bil tsh roughly unapata 35-40km of road yenye lamiHivi hii upumba yote hua unatoa wapi?yaani ata kule skyscraper city niliona ukisema tu hivi hivi,mfano kigamboni bridge ilicost $136mln kujengwa yaani $136mln ni nchi gani hiyo pesa itatosha kujenga kilomita 200 ya barabara ?mfano expansion ya kibaha Ka sikosei inacost $70mln kwa kilometre 19 kumaanisha ingekuwa 35km hio 136mln haingetosha,,,,,saa zingine kuwa unaongea kama mtu amesoma bana
So single lane(2lanes) kwa 100mil usd unajenga roughly 150km