NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,018
- 19,190
Wanaumia sana hawa jamaa. Ukiona mtu anasema unajishaua jua hapo ndio insecurity yake ipo - yani anajiona kuwa chini yako ndio akipewa reason yoyote kuwa uko chini, atataka kuikubali na roho yake yote ndio hizo insecurities zake ziishe.😂Huwa wanatamani sana kutujua😂😂.
Picha sisi ndio tunaamua kupost. Mimi tangu nianze kupost picha zangu waligive up doing guess work on me😂😂.
Na picha zangu zote huwa na za 5yrs kurudi nyuma. Hii yenye nimeweka profile picture ni ya 8yrs ago when I was in Campus. Picha za 2025 ntapost in 2029 in case bado watakuwa alive😂😂. Kuna mwingine nilipeleka na akajianika huku, jamaa mapua na Maskio ni Kama Sinia alafu jamaa ni maskini hoehae 😂😂