Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ingekuwa nchi fulani, nyuzi zingefunguliwa kama mia
Screenshot_20190721-121423.png
 
IOhFq3L.jpg
[/resize]
^^ Progress on June 2018 during the sinking of the first pile

6XqW4aB.jpg

^^ Progress on December 2018 after the completion of Berth 1. Piling works for the Malindi section RoRo Terminal was in progress.

lBi1lDd.jpg

^^ Latest progress after the completion of Berth 1, Berth 2 and Malindi section of the RoRo Terminal. Concrete casting for the remaining part of the RoRo Terminal is in progress.

source source
 
Hzi habari hawazipendi kabisa😆😆😆
 
I presume this is dar port, right?
 
Umeanza tena? Mbona unapenda matusi hivi? If you can't engage someone without calling them names then you better just leave them alone
My dear friend, mpumbavu ipo hadi kwenye Biblia takatifu. Character yangu moja ni kuwa sipendi kuficha feelings zangu. Kama nakuona unaonyesha tabia fulani lazima nikwambie na upumbavu ndio unaouonyesha.
 
Asante kaka. Ila facts zitabaki pale pale. Na nyinyi mlio werevu Mbona mmekwama kwenye like tope la LDC? Mbona werevu wameshindwa kujinasua

This is Mombasa port

And this is Dar port

Mombasa port handled 29 million tonnes of cargo last year against Dar's 15 million tonnes during the same period. That's almost two times. Feelings peleka Mbagala
 
Kaka watu werevu wako nchi zote. Tatizo ni kuwa yapo matatizo mengi sana nchi yetu imepitia, kiuongozi na kisera. Lakini kwa muonekano ulivyo sasa ninaweza kusema kwa uhakika kuwa tumaini la kuingia kwenye middle income economies list lipo na ni valid. Magufuli kaingia madarakani sasa ni mwaka wa nne na nina uhakika kuwa baada ya miaka kumi tukiendelea na hii drive uchumi wetu utakuwa juu zaidi. Kwa hiyo, swali uliloniuliza usiliulize sasa, liulize pale ukifika mwaka ambao tumeweka kufikia target ya kuwa uchumi wa kati.
 
Mimi sijakataa kuwa Mombasa port ina handling capacity kubwa kuliko ya Dar, lakini ukiangalia ujenzi wa upanuzi wa bandari ya Dar ndio kwanza unaendelea na Mombasa port ipo stable. Anyways, kazi inayofanyika ikiisha, handling capacity inategemewa kuwa mara tatu zaidi.
 
Then Wacha kuja hapa ukishakunywa konyagi quarter na kuanza matusi. Matusi hayasaidii kitu. Kama unajua vizuri kwamba Mombasa port iko na handling capacity ya juu mbona basi matusi?
 
Kaka watu werevu wako nchi zote. Tatizo ni kuwa yapo matatizo mengi sana nchi yetu imepitia, kiuongozi na kisera. Lakini kwa muonekano ulivyo sasa ninaweza kusema kwa uhakika kuwa tumaini la kuingia kwenye middle income economies list lipo na ni valid. Magufuli kaingia madarakani sasa ni mwaka wa nne na nina uhakika kuwa baada ya miaka kumi tukiendelea na hii drive uchumi wetu utakuwa juu zaidi. Kwa hiyo, swali uliloniuliza usiliulize sasa, liulize pale ukifika mwaka ambao tumeweka kufikia target ya kuwa uchumi wa kati.
Basi mjilaumu nyinyi wenyewe kwa kuwa na sera potovu na viongozi hafifu, sio kuleta feelings hapa na kuanza matusi mkiambiwa ukweli
 
feelings unazo wewe mwenyewe na sababu kuu ya watu kama nyie kuonyesha feelings ni kwa sababu we give you a run for your money. Na LDC status yetu bado tunafanya mambo makubwa mno. Mi wala sio muongeaji sana ila najua sindano zinakupata vizuri tu.
 
Then Wacha kuja hapa ukishakunywa konyagi quarter na kuanza matusi. Matusi hayasaidii kitu. Kama unajua vizuri kwamba Mombasa port iko na handling capacity ya juu mbona basi matusi?
Nimekutukana wewe na sio Mombasa port hilo uelewe. Na kukuita mpumbavu ni kwasababu unajaribu kutell the future. Well, you can't. Unapowatakia wenzako mabaya usiwahi kudhani kuwa Mungu husikiliza upuuzi wako. Tunafanya mambo yetu makubwa lakini hata siku moja hatusemi kuwa hata kama wakenya wakifanya vile vile hawatatufikia. Naona wazi ya kuwa ukuaji wa Tanzania ni nightmare kwako. Brace yourself for more, as I said before, we ain't playing.
 
Back
Top Bottom