Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kijitonyama
IMG_20190721_173413.jpg
 
Nimekutukana wewe na sio Mombasa port hilo uelewe. Na kukuita mpumbavu ni kwasababu unajaribu kutell the future. Well, you can't. Unapowatakia wenzako mabaya usiwahi kudhani kuwa Mungu husikiliza upuuzi wako. Tunafanya mambo yetu makubwa lakini hata siku moja hatusemi kuwa hata kama wakenya wakifanya vile vile hawatatufikia. Naona wazi ya kuwa ukuaji wa Tanzania ni nightmare kwako. Brace yourself for more, as I said before, we ain't playing.
Feelings peleka Mbagala kijana, Mimi usinletee za ovyo. What I don't like is double standards. Ni mara ngapi wenzako wakiongozwa na ichoboy wameleta taarifa za kukejeli kenya hapa then munashangilia? Ni taarifa ngapi za majanga na kifo kutoka Kenya yameletwa hapa tangu huu uzi uanze? Je, hiyo sio kutakia wakenya mabaya? Usijafanye huyaoni hayo. Unafiki peleka mbali nami na wala si tafadhali. Mkiambiwa ukweli mnaanza matusi. Bure kabisa
 
This is Mombasa port

And this is Dar port

Mombasa port handled 29 million tonnes of cargo last year against Dar's 15 million tonnes during the same period. That's almost two times. Feelings peleka Mbagala

You guys are extremely stupid. There are four working ports in Tanzania, namely: Dar es salaam, Tanga, Mtwara, Zanzibar.

So Yaani mlivyo wa-senge mnachagua moja tu na kulinganisha na Mombasa. Angalia handling capacity ya Tanga, Mtwara na Zanzibar pia ujumlishe halafu ulinganishe na Kibandari kimoja mlicho nacho.
 
Back
Top Bottom