Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waste of time /resources because Ethiopia and Somalia will never ever use the port of Dar es Salaam.Besides there's far better ports to learn from like Mombasa,Singapore or Durban which are far more efficient than Dar.
So wamekuja kufanya nn 😆😆😆 wewe hujiulizi kilichowaleta hapa au unawaona wao wajinga kama ww
 
Huo ni ujinga wa mwisho wao kujileta Tz ,kwanza Ethiopia hawana ufuo wa bahari na Somalia ndio usiseme wao ni failed state kabisa hawana bandari wala serikali.
 
Forgive me guys, I just love green spaces and Nairobi has lots of them
I can't forgive you for entertaining greed when the majority of people live in filthy environment of Kibera and the like.
 
Tangu mabumbumbu wetu wakatazwe kusherekea pale Joburg baada ya ATCL kutua, je tumerudi huko Tena? Ushahidi tafadhali.

Lakini Hii Nchi yetu Tz inachekesha sana. Najiuliza mbona Rwanda kanchi kadogo hawakufanya vioja Kama hivi walipokua wanaanzisha Airline yao ambayo ni kubwa kuliko yetu?
Povu ruksa 😂😂😂
 
I can't forgive you for entertaining greed when the majority people live in filthy environment of Kibera and the like.
Utazidi kuumia ngoja jengo la KPA likamilike kule Mombasa (ndefu kuliko any other building in East Africa). Officially Dar es Sluum vs Mombasa. Enjoy for now but dark days are coming.
 
kwa kipindi hichi cha Magu? 🤣 🤣 sahauni, shukuruni tuu tulikuwa na viongozi walafi waliojijali wao na familia zao kwa miaka 30 iliyopita ila sasa mtaisoma namba.
 
Kwa kipindi hichi Cha Magu tumewazidi;
GDP kwa zaidi ya $30b
KQ kafika New York
Kenya kawapa msaada watu wa mwanza
Westlands kaipiku Dar(Jumba ndefu EAC)
SGR zaidi ya km 600 wakati ya Magu imekwama km50

Tuendelee ama tusiendelee??😋😋
 
I can't forgive you for entertaining greed when the majority of people live in filthy environment of Kibera and the like.
That one coming from a bongolala living in gongo la mboto does not even bother me
 
Tangu mabumbumbu wetu wakatazwe kusherekea pale Joburg baada ya ATCL kutua, je tumerudi huko Tena? Ushahidi tafadhali.

Lakini Hii Nchi yetu Tz inachekesha sana. Najiuliza mbona Rwanda kanchi kadogo hawakufanya vioja Kama hivi walipokua wanaanzisha Airline yao ambayo ni kubwa kuliko yetu?
Povu ruksa
Unataka kusema atcl haiendi Jozi tena au
 
Back
Top Bottom