Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I love Nairobi's greenery and the fact that there are quite a number of public green spaces but we need city councils to be more creative when it comes to decorating green spaces. Park benches forexample, we need stuff like these
5e37e940a38700e13217338ea1387a37.jpg
90e3131dbc5f697cbef8fd08eeb17815.jpg
 
I love Nairobi's greenery and the fact that there are quite a number of public green spaces but we need city councils to be more creative when it comes to decorating green spaces. Park benches forexample, we need stuff like theseView attachment 1159068View attachment 1159069
I like green spaces and that why most of my posts focus on the greenery. Lakini cha ajabu ni kwamba wenzenu huzitupia hizo picha maneno makal za kejeli na kusema Nairobi ni misitu tu. What they don't know is that great cities in the world have a blend of great skylines and green spaces. Go to New York or London for instance, they have very well maintained green spaces that blend perfectly with the skyline and that is what Nairobi is trying to achieve. Ndo maana inaitwa the green city in the sun. Lakini kwa Watanzania, a city is just about a skyline
 
You guys are extremely stupid. There are four working ports in Tanzania, namely: Dar es salaam, Tanga, Mtwara, Zanzibar.

So Yaani mlivyo wa-senge mnachagua moja tu na kulinganisha na Mombasa. Angalia handling capacity ya Tanga, Mtwara na Zanzibar pia ujumlishe halafu ulinganishe na Kibandari kimoja mlicho nacho.
Wewe wacha uongo bwana.Nimeangalia ,nikajumlisha na nikaangalia info kutoka TPA na Zanzibar yenyewe lakini hizo ports zote nne hazipiti Mombasa port kwa ujumla.
 
I like green spaces and that why most of my posts focus on the greenery. Lakini cha ajabu ni kwamba wenzenu huzitupia hizo picha maneno makal za kejeli na kusema Nairobi ni misitu tu. What they don't know is that great cities in the world have a blend of great skylines and green spaces. Go to New York or London for instance, they have very well maintained green spaces that blend perfectly with the skyline and that is what Nairobi is trying to achieve. Ndo maana inaitwa the green city in the sun. Lakini kwa Watanzania, a city is just about a skyline
Ila kubali kataa ukweli utabaki palepale, itakua aibu sana eti Africa tukiorodhesha miji yetu alafu topten eti kuna mji ambao ni mbuga ya wanyama na misitu. Hata mabara mengine watajiuliza hii ni miji ya kuishi watu au wanyama? Na mkiendelea kupanua mji mnaua mbuga, mna county nyingi sana zenye ukame ni bora mngefocus kutengeneza huko. Chaajabu mnakusanya mapato sehemu zingine mnaenda kujenga Nairobi. Wanyama hawahitaji magorofa wanahitaji miti
Mtatengeneza majina ya kila namna ili iwe kwenye orodha ya majiji but itafika kikomo.

Simba wamezoea wakinguruma sauti inasikika ikitikisa pori but leo hii wanasikia sauti za ndege zikiwazidi, ndio maana hata wakaanza kujiona wao ni malioness. Simba wa nairobi bwana 😀
 
Mbona waarabu wametuonesha mfano hai wa kugeuza jangwa kuwa mji? Wengine eti wanabana mbuga wapate mji
 
Ila kubali kataa ukweli utabaki palepale, itakua aibu sana eti Africa tukiorodhesha miji yetu alafu topten eti kuna mji ambao ni mbuga ya wanyama na misitu. Hata mabara mengine watajiuliza hii ni miji ya kuishi watu au wanyama? Na mkiendelea kupanua mji mnaua mbuga, mna county nyingi sana zenye ukame ni bora mngefocus kutengeneza huko. Chaajabu mnakusanya mapato sehemu zingine mnaenda kujenga Nairobi. Wanyama hawahitaji magorofa wanahitaji miti
Mtatengeneza majina ya kila namna ili iwe kwenye orodha ya majiji but itafika kikomo.

Simba wamezoea wakinguruma sauti inasikika ikitikisa pori but leo hii wanasikia sauti za ndege zikiwazidi, ndio maana hata wakaanza kujiona wao ni malioness. Simba wa nairobi bwana 😀
Ugua pole kaka, number yetu mtazidi kusoma. Kwa jinsi unavoidable argue, I think all Tanzanians just think alike
 
Dar es Salaam kuna green spaces za kutosha na mlichokua mesogea ni flyovers pekee swala ambalo sio tatizo now. You guys hamjapata bahati ya kuiona Silcon Dar inavoenda kasi. Now tumewaacha mbali sana
 
show me any public park in Dar the size of Uhuru Park or Central Park in Nairobi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom