Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa kipindi hichi Cha Magu tumewazidi;
GDP kwa zaidi ya $30b
KQ kafika New York
Kenya kawapa msaada watu wa mwanza
Westlands kaipiku Dar(Jumba ndefu EAC)
SGR zaidi ya km 600 wakati ya Magu imekwama km50

Tuendelee ama tusiendelee??[emoji39][emoji39]
Muendelee
 
IMG_1163.JPG
 
Najua picha zimefurahisha macho zako sana hadi ukatamani zingekuwa za Dar. Maumivu yakizidi muone dakitari
Unarudia picha zile zile alizopost wanjala lakini chakuskitisha zaidi unatuonesha misitu
 
Kwa kipindi hichi Cha Magu tumewazidi;
GDP kwa zaidi ya $30b
KQ kafika New York
Kenya kawapa msaada watu wa mwanza
Westlands kaipiku Dar(Jumba ndefu EAC)
SGR zaidi ya km 600 wakati ya Magu imekwama km50

Tuendelee ama tusiendelee??😋😋

Mmetuzidi kwa kupika data za uchumi 😆😆😆😆😆
 
Assumption is the mother of all fuckups.
It is only an assumption when said to a danganyikan but when you talk of kibera it's not an assumption. Nway, that's the way a bongolala brain is wired to think
 
Waste of time /resources because Ethiopia and Somalia will never ever use the port of Dar es Salaam.Besides there's far better ports to learn from like Mombasa,Singapore or Durban which are far more efficient than Dar.
Ndege wa rangi moja huruka pamoja, bundi hukwepwa na njiwa sijui Kwanini 😁😁
 
Tangu mabumbumbu wetu wakatazwe kusherekea pale Joburg baada ya ATCL kutua, je tumerudi huko Tena? Ushahidi tafadhali.

Lakini Hii Nchi yetu Tz inachekesha sana. Najiuliza mbona Rwanda kanchi kadogo hawakufanya vioja Kama hivi walipokua wanaanzisha Airline yao ambayo ni kubwa kuliko yetu?
Povu ruksa [emoji23][emoji23][emoji23]
Sijawai ona mbumbumbu kama ww unahis hatuend tena Joburg au..chk hapo
Screenshot_20190720-201906.jpg
 
Back
Top Bottom