ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,470
- 88,594
Ndo hicho SGR Uvinza-Gitega-Msongati-Kindu.Inawezekana kbs maana katika delegates ya Burundi waliongozana na magari ya Wakala wa Huduma za Ununuzi, Ila mimi nilihisi ni katika harakati za kumtafuta mkandarasi wa kipande cha TZ-BURUNDI
Hata behewa zetu za MGR ni better kuliko hizi zao za SGR 🤣🤣🤣Hivi kweli huyu yupo kwenye hili likonokono na ameshaexperience ukobe wake lakini yumo humu kutoa likes na support kwa bibi titi namna anavyoonesha hana akili zaidi ya maziwa kwa kulinganisha kifo na usingizi, unaejijua hii picture ni yako nakupa karipio kali ukiendelea nakuanika, leo nilikua na kazi 1 tu ya kukudukua na maisha yako yote ninayo kwenye gallery 😁
View attachment 2974850
You're busy sharing flood photos in Nairobi when Tandale looks like this.
View: https://www.tiktok.com/@kersey20_/video/7362251481560485126?_t=8lruor6Xtzi&_r=1
aka KiberaWalker 😀 😀 😀 😀 Jamaa yupo na maisha magumu kweliSasa NairobiWalker kama unaishi maisha ya aina hii unapata wapi audacity ya kumuhoji muheshimiwa anaeishi mbagala?
View attachment 2975039
Zile zenye ziko na fan ya nyumba? 😂😂Hata behewa zetu za MGR ni better kuliko hizi zao za SGR 🤣🤣🤣
Na pia watakuambia that place isn’t Tanzania.Watakuambia hizo basi zilitumika miaka ya 1990s😂😂