Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mtoto mdogo lazima umbembeleze...kw sababu hana kitu chengine zaidi ya kulia...

Vp kuhusu wavuvi haramu..mmeshaanza kuwaua kw kuwazamisha ndo ili wawe funzo kw wengine...au yule waziri alikuwa kavuta bangi ile day[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Jagguar ni mpumbuvu sana, anaongea pumba bila kujua bila Tanzania Kenya iko matatani
 
lazima maana hii border ikifungwa ni kwamba hamna kufanya biashara na Tanzania na nchi zoote za SADC! transportation for Kenyan goods to those countries will be a nightmare!
Hata kabla ya kufikiria kufanya biashara na SADC watakua tayari wakenya kwa maelfu wameshakufa kwa njaa. " a hungry stomach can't fight, and hungry brains can't reason properly ".
 
By Moiz

IMG_0720.JPG
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mtoto mdogo lazima umbembeleze...kw sababu hana kitu chengine zaidi ya kulia...

Vp kuhusu wavuvi haramu..mmeshaanza kuwaua kw kuwazamisha ndo ili wawe funzo kw wengine...au yule waziri alikuwa kavuta bangi ile day[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi ni kwanini wakenya wakija tz tunawakalibisha mitaani kwetu na majumbani kwetu Ila sisi tukija Kenya awataki kutuonyesha wapi wanaishi bar tunakutana bar na kwenye grossary tena ukimwambia habari za kukupeleka mtaani kwao unamwona anakua very sad
 
Bwahahaaaaa!!!ukaribishwe kwn we ni nani haswa..kila mtu apambane na hali yake...ndugu zangu tu hawaji kwangu kijinga jinga..itakuja wewe wa mitandaoni tu...

Ukitaka kukaribishwa home oa au uolewe..muulize kiba...lkn eti mtu nakujua mtandaoni tu..tutakula sherehe nje nje tu..mda ukiisha kila mtu anajichukua na issue zake..sio kuandamana km nyumbu

Back
Top Bottom