Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji1784][emoji1784][emoji1784][emoji1784]maskini
Hiv mkuu Una ajira?
Maana Hali ni mbaya huko kenya
Screenshot_20190703-135753.jpeg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lkn hakipo katika vipimo vya mtu kuwa tajiri
Ajira ndio kipimo moja wapo cha umaskini na chakuskitisha unemployment rate in kenya is 40%[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Utaskia wao wanasema wanao umeme mwingi😆😆😆😆😆👇👇👇👇


Najua uko na akilini ndogo kama ya nyumbu ila yafaa ujue kwamba power outage can be caused by so many things, not necessarily upungukufu wa stima.
 
Najua uko na akilini ndogo kama ya nyumbu ila yafaa ujue kwamba power outage can be caused by so many things, not necessarily upungukufu wa stima.
Nani aliyesema ni upungufu wa UMEME?, acha kujistukia, kukosekana kwa UMEME ni tatizo linajitegemea, haijalishi sababu iliyosababisha, kinachohitajika ni umeme uwepo, hizo sababu zako za kuhalalisha "failures", pelekea teams Kieleweke, Tangatanga na team Wanjiku.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Back
Top Bottom