Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

No Tanzania no Kenya AFCON 19 EGYPT imeisha tuwe watazamaji kilichobakia tuendelee kuwadondosha madem wakali wa Kenya ushemeji uendelee kudumu
Shem sijui mmepanga kurudi lini,ili tukajipange upya maana yajayo hatuyajui 😂😂
 
Timu gani ya East Africa imechapwa mechi zote mfululizo na ikamaliza ya mwisho kwenye kundi C?
A - Kenya
B - Tanzania
Niliskia kauli yako kua utaingia 16 bora lakini nashangaa kauli imebadilika😆😆😆😆😆
 
74AB9E1C-7491-4FDD-8054-6EDAF9E98957.jpeg
 
Back
Top Bottom