Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo zimejaa Kenya. Probably alikuja Nairobi kununua hio Porsche
Ww ndio ulimuagizia😆😆😆 kwa vile hzo gari zinatengezewa kenya sijui kwann hua munakuaga wajinga sana nyie
 
That drainage is not well taken care of
Mungeanza na hii kwanza😆😆👇👇
1D435BDA-09E1-4F57-AD74-268BBEF4D851.jpeg
 
Only place in EA you can get a porsche bana
Sasa kama nikiagiza dubai inamaana imetoka kenya na hapo nairobi ni office only 😆😆😆

Mbona toyota yuko kila mahala lakini naagiza gari yangu kupitia be forward direct from japan

Punguzeni ujinga nyie unasifia ofisi ya porsche wakati unemployment iko 40%
 
Back
Top Bottom