tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Ilitaka uringe na pipa la lami AuNa haturingi
View attachment 1144044View attachment 1144045View attachment 1144046View attachment 1144047
Na bado tunajenga na hatutangazi kila siku
Ilitaka uringe na pipa la lami AuNa haturingi
View attachment 1144044View attachment 1144045View attachment 1144046View attachment 1144047
Na bado tunajenga na hatutangazi kila siku
Mafia uwanja mbona upo mzuri!Now they should Develop Mwanza,Kigoma at full speed ..they could use good terminals
I also Think to Improve tourism...Mafia and Pemba should be able to handle Bombardier Q400 so they also need improvments
Habari umeipata.Ilitaka uringe na pipa la lami Au
NdioDu!! timu 3
Round of 16. Ama hujui zinaingia timu tatu? ya mwisho(bongolala, nkurunziza) nyumbani [emoji23]. Tutakula Bata siku kadhaa zaidi. thanks again
Usifkiri utamtoa senegal hata kwa dawa 😆😆😆😆😆 tunajiandaa woteTaifa Stars leo wanarudi nyumbani wapende wasipende. Sijui Kama bombadia inaweza kuruka Hadi Cairo ama bado betri ni shiiiida?
Na nimekuwa nikisema Tz na Burundi ni wapenzi sijui wachukue Ndege moja waje wakibembelezana kwa walioyapata na sio michezoni tu mbali hata uchumi zao ni dhaifu.
CCM hoyeeeeee 🤸 🤸
Subiri tuone kama watatoboa kwa senegal 😆😆😆😆😆😆Kwani timu yenu itaenda wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi naona bora wacheze airport ili kupunguza gharama [emoji23][emoji23][emoji23]maana kiukweli wote hatuendi popoteSubiri tuone kama watatoboa kwa senegal [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kwan ww ushaingia round ya 16😆😆😆 yani unajipa matumaini kumfunga senegalRound of 16. Ama hujui zinaingia timu tatu? ya mwisho(bongolala, nkurunziza) nyumbani 😂. Tutakula Bata siku kadhaa zaidi. thanks again
Alafu Mane si atacheza leo [emoji23][emoji23][emoji23]Usifkiri utamtoa senegal hata kwa dawa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] tunajiandaa wote
Anakwambia zinaingia timu tatu😆😆😆😆Kajifunze mpira kwanza
Anakwambia zinaingia timu tatu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Yani tayari mko 2 - 0 down na ni 1st Half 😂😂😂Kwani timu yenu itaenda wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
Yani tayari mko 2 - 0 down na ni 1st Half [emoji23][emoji23][emoji23]
Tz 0 - 3 Algeria 😭😭😭Tufungwe au tufunge freshi mbona
Tz 0 - 3 Algeria [emoji24][emoji24][emoji24]
Yani tayari mko 2 - 0 down na ni 1st Half [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu bado Una maneno?Tz 0 - 3 Algeria [emoji24][emoji24][emoji24]
Kwa jedwari tuko namba tatu juu yenu Kama kawaida...yani lazima tuwe juu yenu
Bado unajiteteaKwa jedwari tuko namba tatu juu yenu Kama kawaida...yani lazima tuwe juu yenu