instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,602
- 19,786
Hii ndo stendi kuu ya Nairobi?Hesabu taratibu chauffeur boy
View attachment 1134213
Nyie hamna mwendokasi ndo maana mnajazana barabarani na foleni za kiboya
Hii ndo stendi kuu ya Nairobi?Hesabu taratibu chauffeur boy
View attachment 1134213
Fungua uzi tuchangie pleaseTaja kampuni la buses Kenya lenye hadhi ya Tahmeed, huku Tanzania, Tahmeed haipo katika Top 5.
Hivyo ni sawa na kusema mkikuyu anathamini sana Jaluo, hakuna mtanzania atakayethamini soko la Kenya zaidi ya Tanzania, huo ulimbukeni upo huko Kenya. Wakenya wengi wamekimbia wapo nje ya nchi kutokana na rushwa, insecurity and lawlessness.Hajui km tahmeed anathamini sana soko la kenya kuliko tanzania
kuna mwnzako alikuja akapewa video buses zikitoka asubuhi hapa terminal,saa zima hazijaisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Fungua uzi...
Hamna buses nzuri huko, kampuni lenye hadhi ni Coast Modern, ambalo halifikii hata 50% ya Tahmeed.Fungua uzi tuchangie please
Yani huamini km tahmeed hathamini soko la ldc....bwahahaaa[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]Sasa hiyo ni Mombasa Dar, bado ni Tanzania, wewe ulisema Mombasa Nairobi ndio anapeleka gari nzuri, vipi kampuni la Tanzania lithamini Kenya, wakati ajali kati ya Mombasa Nairobi zimezidi sana?
youthvillage.co.ke
Kwhyo paris hamna jam...Hii ndo stendi kuu ya Nairobi?
Nyie hamna mwendokasi ndo maana mnajazana barabarani na foleni za kiboya
Fungua uzi bro...Hamna buses nzuri huko, kampuni lenye hadhi ni Coast Modern, ambalo halifikii hata 50% ya Tahmeed.
Hzo ni kampuni ndogo sana budaaKuna easy coach , guardian angel, mash poa etc
Jamaa alikuwa anataja taja maeneo ya tz bila kuyajua ameishia kuuumbuka mwenyewe.Tuletee shule yenye viwango hivi kutoka Turkana
Yaani manthari tu ya Bukoba huwezi fananisha na uchafu unaoitwa Turkana
View attachment 1134165View attachment 1134166View attachment 1134167View attachment 1134168View attachment 1134169View attachment 1134170
Hahahahaha, wewe ndio ufungue Uzi ili wenzako wakusaidie. Tahmeed pekee inazidi makampuni yote huko kwenu.Fungua uzi bro...
Taja kampuni la buses Kenya lenye hadhi ya Tahmeed, huku Tanzania, Tahmeed haipo katika Top 5.
😂😂😂ni kujitutumuaWith mnara juu of 60meters
Naona umekausha baada ya kuiona Bukoba.Kwhyo paris hamna jam...
Mtawaliz bure hao nyang'au hawana stendNakupa mfano tu mpanda bus stage [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] ipo mkoa wa katavi
View attachment 1134013View attachment 1134014View attachment 1134016View attachment 1134017View attachment 1134018View attachment 1134019
Hahaaa jamaa alikua anabipu faya, hajui kua mkoa wa Kagera ni eneo linaloongoza kwa kutoa maprofesa wengi kuzidi eneo lolote lile Afrika ya masharikiNaona umekausha baada ya kuiona Bukoba.
Hiv maeneo kama haya utayapata wap nje ya Nairobi.
Hebu burudika na Mitaa ya Bukoba. Nasubiri tulkana.View attachment 1134423View attachment 1134424View attachment 1134425View attachment 1134426View attachment 1134427View attachment 1134428
Anataja taja Tu bila kuyafahamu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaaa jamaa alikua anabipu faya, hajui kua mkoa wa Kagera ni eneo linaloongoza kwa kutoa maprofesa wengi kuzidi eneo lolote lile Afrika ya mashariki
Tanzania ina sewage coverage ya how many percent
Hakuna kampuni ya buses Kenya inayoizidi Tahmeed, kama ipo tafadhali onyesha buses zake, nje na ndani.Na huku Kenya tahmeed haiko hata top ten