Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni lazima bus liingie stand ili likaguliwe na ndio maana mnapakiwa kwenye mafuso kama mbuzi sababu kila mtu anaweza kusafirisha abiria bila kuwa regulated, Tanzania kila bus la abiria limefungwa tracking systems mpaka speed inasomwa control room na lazima liingie stand lilipe tozo za serikali na abiria lazima waondokee stand kwanza Tanzania buses ni nyingi ushamba wa kwenda kufanya booking one or more days before ulishapitwa na wakati

Saivi mtu unaenda zako stand saa 11:30 unajichagulia gari nzuri unayoitaka mwenyewe unachagua seat yako unaingia kwenye gari dakika 10 nyingi gari imewashwa mnaondoka

Sasa wewe Unataka kuwe na sitting rooms kwenye bus terminals kwani umeambiwa hiyo ni labour ward? Watu wamekuja kupakia mabus hapo hawajaja kupoteza muda.
Mbna dar lux wakajenga kitu chao...wacha wivu...we kubali mna book ndani ya basi...

Kwn ni dala dala
 
Tahmeed basi zake kali zote ana launch mombasa nairobi...wacha kupingana na ukwel
Hahahahaha, kwasababu hujatoka nje ya Kenya, na huwa vyombo vyenu vya habari vyote vinawajaza ujinga, vuka mpaka uje isafishe macho wewe, Kenya haina buses za kushindana na Tanzania. Hebu taja kampuni moja la buses huko Kenya lenye hadhi ya Tahmeed.
 
Hahahahaha, kwasababu hujatoka nje ya Kenya, na huwa vyombo vyenu vya habari vyote vinawajaza ujinga, vuka mpaka uje isafishe macho wewe, Kenya haina buses za kushindana na Tanzania. Hebu taja kampuni moja la buses huko Kenya lenye hadhi ya Tahmeed.
Fungua uzi...
 
Wacha nikujibu kutokana na hyo picha yako...manake naona wataka ubishi...

Ya mombasa daresalam naona iko na WI-FI...mbna la arusha lipo lipo tu
Sasa hiyo ni Mombasa Dar, bado ni Tanzania, wewe ulisema Mombasa Nairobi ndio anapeleka gari nzuri, vipi kampuni la Tanzania lithamini Kenya, wakati ajali kati ya Mombasa Nairobi zimezidi sana?
 
Back
Top Bottom