Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa alikuwa anataja taja maeneo ya tz bila kuyajua ameishia kuuumbuka mwenyewe.

Ameitaja Bukoba eti kisa iko mbali na dar.anataka alinganishe na turkana iliyombali na Nairobi

Bukoba town wakati wa usikuView attachment 1134412
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Hawa Wakenya kitu kilichowafungua macho ni hii mitandao hasa JF kichwani kwao wanajua Tanzania ni nchi ya ajabu sana wakija kuujua ukweli wanabaki wametahamaki, Bukoba ni next levels, ni miji mingi sana ya Kenya hauwezi linganisha na Bukoba.
 
Ahaaa haaa haaa
HALAFU katika ukanda wa EAC hakuna watu wanaosafiri sana tena kwa mabasi MAZURI na BARABARA nzuri kama huko home Tanzania.
 
Ahaaa haaa haaa
HALAFU katika ukanda wa EAC hakuna watu wanaosafiri sana tena kwa mabasi MAZURI na BARABARA nzuri kama huko home Tanzania.
Haya mabasi ambayo Bukoba ni just school buses, huko Kenya kuna counties ambazo hawajawahi kuyatia machoni wakati Tanzania ni buses za kubeba watoto
26351389_809370419247066_8932664499660390400_n.jpg
images (3).jpeg
 
Naona umekausha baada ya kuiona Bukoba.

Hiv maeneo kama haya utayapata wap nje ya Nairobi.

Hebu burudika na Mitaa ya Bukoba. Nasubiri tulkana.View attachment 1134423View attachment 1134424View attachment 1134425View attachment 1134426View attachment 1134427View attachment 1134428
Unaniletea hoteli mm...bwahahaha...kisha eti unasema nje ya nairobi...kemu fungua uzi uone hyo bukoba mkoa tukupe county moja tu ukimbie...

Yani kw akili yako nairobi ndiyo ina maandhari mazuri kenya nzima..kumbe huijui kenya wewe...nasubiria uzi bukoba mkoa halafu uwaulize wakenya wakuletee vitu zaidi ya hvyo
 
Hahaaa jamaa alikua anabipu faya, hajui kua mkoa wa Kagera ni eneo linaloongoza kwa kutoa maprofesa wengi kuzidi eneo lolote lile Afrika ya mashariki
Wah...sijaona comment ya kipumba km hii...anayesema n mtu wa kutoka nchi yenye kielimu ni zero kabisa
 
Asilimia kubwa Tanzania wanatumia closed sewerage system. Yaani kila mtu anakuwa na shimo lake kwenye plot yake.

Katikati ya miji (CBD) mikubwa kama Dar, Mwanza, Tanga etc wanatumia open sewerage system. Yaani kuna mabomba ya maji taka yanaelekea sewerage pond.
Jibu swali kijana...wacha pumba
 
Unaniletea hoteli mm...bwahahaha...kisha eti unasema nje ya nairobi...kemu fungua uzi uone hyo bukoba mkoa tukupe county moja tu ukimbie...

Yani kw akili yako nairobi ndiyo ina maandhari mazuri kenya nzima..kumbe huijui kenya wewe...nasubiria uzi bukoba mkoa halafu uwaulize wakenya wakuletee vitu zaidi ya hvyo
Hiv Bukoba ni mkoa? Tuanzie Hapo Kwanza.

Nasubiri maeneo kama haya nje ya Nairobi.

Bado unaongelea turkana?
50170708_102473717479762_8096965731290526322_n.jpeg
 
Wah...sijaona comment ya kipumba km hii...anayesema n mtu wa kutoka nchi yenye kielimu ni zero kabisa
Nakuonea huruma kijana, ungekua unajua jinsi wenyeji wa mkoa wa Kagera walivyopiga shule ungefumba bakuli lako.
Hivi hujui akina profesa Mukan
 
Back
Top Bottom