Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!!nlijua tu utaumia utaleta ya dar lux...the one and only danzagiza yote
Sio dar lux pekee 👇👇👇👇👇
Ona hio hood express
DC78FDDF-8611-42AF-BC9E-9684C5A61785.jpeg
 
Kwhyo wataka kunambia abiria huabiri basi kw terminal hku wakizisubiria hapo kw hyo waiting lounge...

Kemu distance ya hayo maeneo na kule stendi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
So umekasirika au😆😆😆😆😆
 
Hood express...kwn hawana waiting lounge...kisha ipo kule kw terminal...watu wanaabiri katika yale mabenchi hku wakipigwa na vumbi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ipo ndani hapo huoni au umekasirika😆😆😆
 
Yan nilikua namsubiria tu alete uchafu wake ili nimpige na hii [emoji3]
Hyo iko wapi...bwahaaa..inapatikana pale ubungo au...bwahahaaaa...watu wamejitoa na ujamaaa hao...wako na kitu chao mordern pembeni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jifunzeni kutoka kw dar lux...jamaa yule ako na business strategy...haburuzwi na idea za serikali ya kijamaa..

Dar lux..asante sana idea nzuri km hyo...

Which are the bigger bus companies in Kenya apart from Modern Coast and Tahmeed?
 
Jifunzeni kutoka kw dar lux...jamaa yule ako na business strategy...haburuzwi na idea za serikali ya kijamaa..

Dar lux..asante sana idea nzuri km hyo...
Ni lazima bus liingie stand ili likaguliwe na ndio maana mnapakiwa kwenye mafuso kama mbuzi sababu kila mtu anaweza kusafirisha abiria bila kuwa regulated, Tanzania kila bus la abiria limefungwa tracking systems mpaka speed inasomwa control room na lazima liingie stand lilipe tozo za serikali na abiria lazima waondokee stand kwanza Tanzania buses ni nyingi ushamba wa kwenda kufanya booking one or more days before ulishapitwa na wakati

Saivi mtu unaenda zako stand saa 11:30 unajichagulia gari nzuri unayoitaka mwenyewe unachagua seat yako unaingia kwenye gari dakika 10 nyingi gari imewashwa mnaondoka

Sasa wewe Unataka kuwe na sitting rooms kwenye bus terminals kwani umeambiwa hiyo ni labour ward? Watu wamekuja kupakia mabus hapo hawajaja kupoteza muda.
 
Back
Top Bottom