mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
Hesabu taratibu chauffeur boyNioneshe only 10 lanes wachana na 12 lanes😆😆😆😆😆😆
Hesabu taratibu chauffeur boyNioneshe only 10 lanes wachana na 12 lanes😆😆😆😆😆😆
Wewe usizuge umeskia👇👇👇👇👇View attachment 1134193
Ushaleta upumbavu wenu wa kibaguzi,mhindi sio mtu we nyang'au?Naona mchanga mwekundu komora096 njoo uone jokes za huyu kijana ya muhindi.
Hii ndio nairoberry bus terminal konk [emoji91]Na hii hapa bus stage yao[emoji38][emoji38][emoji116][emoji116]
View attachment 1133990
Fanya utuonyeshee ya kwenu yenye waiting loungeAnaimba bus stage na wakati hta waiting lounge hamna...ni kukaa kwa ma benchi hku ukipigwa na vumba na moshi wa mabasi
Tuonyeshee ya kwenu yenye mabusStendi zao zote ni empty...labda ile ya dar tu[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]mpe hyo
Punguza jazba..taja bus lolote uletewe stage yake mpka waiting lounge,kila kitu yaniWewe usizuge umeskia[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1134193
Bila kusahau kibera slumHatuna such stuff huku labda nikuonyeshe 12lane highways, overpasses, tunnels, SGR Mombasa to Naivasha(600km) na tallest building in East and Central Africa.
Punguza jazba weweUshaleta upumbavu wenu wa kibaguzi,mhindi sio mtu we nyang'au?
Nairobi bus terminal ndio nn...inaitwaje ni i googleHii ndio nairoberry bus terminal konk [emoji91]
Nitajie kampuni km tatu tu nikuonyeshe stage zao plus na hvo vitu vngine...km waiting lounge...Tuonyeshee ya kwenu yenye mabus
Acha blah blah we mkibera,lete picha ya main nairobbery bus terminal,hiyo ya kampuni kuwa na stage zao hata TZ zipo,sisi tunataka utuletee ile ya kiujumla hapo mungiki land km ya pale Dar ubungo terminalNitajie kampuni km tatu tu nikuonyeshe stage zao plus na hvo vitu vngine...km waiting lounge...
Si eti mnajengewa vitu empty vyenye hta havina mabasi....receipt hapo mnaktia wapi...then waiting lounge ni kw hayo mabenchi...aii jamani...si hapo unapigwa na vumbi tu..
Nionyeshe watu wanapokatia tikiti na waiting lounge katika hzo terminal zenu km si kituko...we unaniletea maandishiAcha blah blah we mkibera,lete picha ya main nairobbery bus terminal,hiyo ya kampuni kuwa na stage zao hata TZ zipo,sisi tunataka utuletee ile ya kiujumla hapo mungiki land km ya pale Dar ubungo terminal View attachment 1134250
Chang'aa ishakuharibu ubongo,onyesha wewe kwanza hizo za kwenu zenye waiting lounge,mbona uelewi!umestick kwenye kudai za kwetu ni kituko onyesha zenu basi zilizo boraNionyeshe watu wanapokatia tikiti na waiting lounge katika hzo terminal zenu km si kituko...we unaniletea maandishi
Cheki hyo kwanza...watu wana book...kionjo tu hichoChang'aa ishakuharibu ubongo,onyesha wewe kwanza hizo za kwenu zenye waiting lounge,mbona uelewi!umestick kwenye kudai za kwetu ni kituko onyesha zenu basi zilizo bora
Hio sio 10lanes au ndivo hvo hua munahesabu😆😆😆😆😆😆😆 8lanes siku hzi imekua 10😄😄😄😄Hesabu taratibu chauffeur boy
View attachment 1134213
Hio sio bus stage ila ni nini😆😆👇👇 unatuona wajinga sanaHyo c bus stage
Kla company ya bus Kenya iko na offices zake
Hio ni bus booking offices ona hii😆😆👇👇👇👇👇👇👇
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!!nlijua tu utaumia utaleta ya dar lux...the one and only danzagiza yoteHio ni bus booking offices ona hii[emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1134264View attachment 1134266View attachment 1134265
Yaitwaje hyo...inapatikana maeneo gani nikuletee nikuumbue sai...bwahahaaHio sio bus stage ila ni nini[emoji38][emoji38][emoji116][emoji116] unatuona wajinga sana
View attachment 1134263