ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,865
Mtwara port imekutoa mavi😆😆😆😆Picha za stendi ikiwa na mabasi na abiria wakiziabiri bado naingoja 🤣
Mtwara port imekutoa mavi😆😆😆😆Picha za stendi ikiwa na mabasi na abiria wakiziabiri bado naingoja 🤣
Hiyo ni hosp ya level ya health centre zilizopo kila tarafa nchiniUsipanic bro...this is lodwar county referral hospital...cheki vifaa kwanza hvo na reception.kagera ni mtoto sana kw turkana[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1133923View attachment 1133924View attachment 1133925View attachment 1133926
MOMBASA PORT handles more cargo than all your ports combined so wewe ndio unatokwa Kinyesi.Mtwara port imekutoa mavi😆😆😆😆
Nawe leta bus stage ya NairobiMbona iko empty Kama white elephant??[emoji848][emoji848]
Endelea kulia 👇👇👇👇MOMBASA PORT handles more cargo than all your ports combined so wewe ndio unatokwa Kinyesi.
BADO HUJANIWEKEA PICHA YA EMPTY/GHOST WHITE ELEPHANT STAND mbona???
Akikuletea tu nitag😆😆😆😆Nawe leta bus stage ya Nairobi
Tuletee shule yenye viwango hivi kutoka TurkanaHuo sio ufuo jamani
ATCL tunafika Mumbai lini baada ya mwaka moja kuimba imba huo wimbo? Nyang'aus KQ yao ishatua na inaendelea kutua NY, wameanzisha nyingine ya Uchina na pia Europe na Africa ni nyumbani.
Mbona sisi wabongo hata minofu kaishia betri kuibiwa na Ndege kuota kutu JNIA?
Hatujaona bus stage ya nairobi😆😆😆ATCL tunafika Mumbai lini baada ya mwaka moja kuimba imba huo wimbo? Nyang'aus KQ yao ishatua na inaendelea kutua NY, wameanzisha nyingine ya Uchina na pia Europe na Africa ni nyumbani.
Mbona sisi wabongo hata minofu kaishia betri kuibiwa na Ndege kuota kutu JNIA?
Is this school private or publicTuletee shule yenye viwango hivi kutoka Turkana
Yaani manthari tu ya Bukoba huwezi fananisha na uchafu unaoitwa Turkana
View attachment 1134165View attachment 1134166View attachment 1134167View attachment 1134168View attachment 1134169View attachment 1134170
Hatujaona bus stage ya nairobi😆😆😆
Wewe usizuge umeskia👇👇👇👇👇Every bus company in kenya has their own booking offices
We dont do bus stages
Hatuna such stuff huku labda nikuonyeshe 12lane highways, overpasses, tunnels, SGR Mombasa to Naivasha(600km) na tallest building in East and Central Africa.Hatujaona bus stage ya nairobi😆😆😆
Na hiii nini 😆😆😆👇👇👇Hatuna such stuff huku labda nikuonyeshe 12lane highways, overpasses, tunnels, SGR Mombasa to Naivasha(600km) na tallest building in East and Central Africa.
Wewe usizuge umeskia👇👇👇👇👇View attachment 1134193
Nioneshe only 10 lanes wachana na 12 lanes😆😆😆😆😆😆Hatuna such stuff huku labda nikuonyeshe 12lane highways, overpasses, tunnels, SGR Mombasa to Naivasha(600km) na tallest building in East and Central Africa.
Hahahaha kumbe bado hawajapata license na vile tumezoea kelele ati tunaenda Mumbai...wanafikiri biashara ya Ndege ni ya daladala.ATCL is not IATA approved it cannot fly international routes