Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

imagine unaambiwa africa nzima tz ndiyo imezungukwa na vyanzo vikubwa vya maji safi ya mito na maziwa kwa hili eti nalo tunasubiri wafadhili africa bwana na hapa utasikia wapuuzi wachache wakikuambia hatuna resouces za kuexploit haya maji jamani kweli huu ushabiki utatupeleka wapi sijuwi kila kukicha watu wanabishana mara act sijui chadema sisiyemu upuuzi mtupu

maendeleo tunayoyatamani kwa wenzetu(wazungu) ni maono na mipango ya muda mrefu badala tuige tuwe na malengo hata kama ni kwa kujikongoja watu wanawaza ufala tu wacha sisiyemu itawale kama vichwa vyenyewe ndio hivi kushinda kubishana humu kweli politicians wanawaharibu na kuwapotosha vijana mijitu inawaza ubishi tu masaa zote
 
kumbuka hata uipige vita dar au nairobi siyo ndo kuendeleze sehemu nyingine weka facts zinazokubalika atayepinga labda atakuwa na lake ila kusema unalalia godoro kwako wakati unaangusha kwenye bonge la mkeka kila siku siyo kwamba ndiyo uzalendo ni unafiki tu na kussapoti wanasiasa uchwara na kwa hili hatuwezi songa
Nimekuelewa sana mkuu...ila sote tuna mapungufu...[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
inagine unaambiwa africa nzima tz ndiyo imezungukwa na vyanzo vikubwa vya maji safi ya mito na maziwa kwa hili eti nalo tunasubiri wafadhili africa bwana na hapa utasikia wapuuzi wachache wakikuambia hatuna resouces za kuexploit haya maji jamani kweli huu ushabiki utatupeleka wapi sijuwi kila kukicha watu wanabishana mara act sijui chadema sisiyemu upuuzi mtupu

maendeleo tunayayatamani kwa wenzetu(wazungu) ni maono na mipango ya muda mrefu badala tuige tuwe na malengo hata kama ni kwa kujikongoja watu wanawaza ufala tu wacha sisiyemu itawale kama vichwa vyenyewe ndio hivi kushinda kubishana humu kweli wanawaharibu na kuwapotosha vijana mijitu inawaza ubishi masaa zote
Mm mwnywe natamani sana kenya janja janja za upigaji zipungue angalau kidogo maisha ya mwananchi wa kawaida yawe vizuri na nchi ipige hatua za kuwa developed country...ila wanasiasa wetu wanatubwaga sana...
 
wanasiasa ndo wanaturudisha nyuma badala ya kujadili kwa pamoja vitu ambavyo vitaisukuma EA mbele watu wapo bize kulinganisha picha za majengo na miundombinu ambayo wakati mwingine ukifuatilia utakuta tumepigwa bora kuwa maskini kuliko kuwa mjinga

utakuta politicians kwa mfano familia nzima wanatembelea magari ya umma tena ya bei mafuta ya serikali kwa shughuli za kifamilia yaani ni kama tumefungwa minyororo akili zetu tunawaza tu matukio kiukweli mapinduzi ya kifikra yanatakikana

watu hawajui kwamba kuna EA federation na shabaha yake ni nini badala yake tunaanza kupondana badala ya kujengana na kupongezana tunawaza kutawanyana sibariki aina yoyote ya ukosoaji usio na tija

binafsi ningetegemea kama vijana tujadiliane na kushirikishana fursa zilizopo kwenye hii miji mikubwa wenye nafasi na vipato wafaidi badala yake tunatafuta who is the best halafu ukishajua iweje pumbaav

yaani hawa ndo viongozi miaka kumi sijui ama kumi na tano ijayo wanawaza kutambiana na hii imeletwa na chuki za wanasiasa tubadilikeni la sivyo wageni watarudi na kuchukua vyao kama kawa si unajua nzi achezi mbali na kidonda enhe

afrika mashariki ina shababa kubwa moja ya kuwa one political state yenye currency moja na soko huria,kwa mtindo huu vijana tunasupport kweli hiyo mission? tubadilike bana hakuna mzungu ama mchinese ama muhindi atakuja atuambie fanyeni hivi for our betterment

ni mawazo yangu tu lakini ukipanic kateme povu kwa babako hapa nitaloekea tu boksa zangu[emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Nimekuelewa sana mkuu...ila sote tuna mapungufu...[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
siyo kidogo mzee mapungufu makubwa tu. Badala ya kushea hizo buddens tunatambiana miradi ambayo mingine imefadhiliwa na wageni yani ni sawa na kujengewa nyumba na mfadhili halafu unamtambia jirani yako yaani kama kuna wazungu wanajua kiswahili na wanapita humu watakua wanatushangaa kinoma tulivyo wa ajabu

kama huku kwetu ukipita katika group chats za whatsapp facebook watu wanabishania siasa tu sijui tlp nccr ufala tu utafikiri vitoto vya std 2 sijui huko kwenu ila nao naona ni wapuuzi tu kujitapia miradi ambayo mingi kiukweli mmeibiwa na wanasiasa kwa kushikiana na hao mnaowaita wahisani hatunaga hata muda wa kuhoji hiyo mikataba utasikia tu tunajenga sijui nini kumbe ndani humo ni kichapo kimetembea sisi tupo busy kujadili siasa za kifala
 
Nguruwe pori hili.
 
Nyamaza boya wewe, unangea sana utafikiri teja, usione tupo kimya ukafikiri hatuwezi kukujibu. Hayo unayoyazungumza yapo Kenya hasa kwa shirika lao la ndege na SGR yao. Ukiona tunayozungumza hapa hayakufai nenda kaolewe mombasa senge wewe
 
ndipo ulipo olewa siyo? siyo kila mwanaume anaolewa wengine mashababi kama mimi[emoji16] we kama unatafuta dume humu funguka watakuona tu usijigonge kwangu sitaki kuchomwa jehanamu mimi
 
Higuin (Chelsea), Sissoko (Tottenham), Jong (Barcelona) wote wapo Serengeti National Park
IMG_1560837558.538278.jpg
 
ndipo ulipo olewa siyo? siyo kila mwanaume anaolewa wengine mashababi kama mimi[emoji16] we kama unatafuta dume humu funguka watakuona tu usijigonge kwangu sitaki kuchomwa jehanamu mimi
kuna mwenzako alikuja kwa staili kama hii yako,tukamwambia wewe ni mkenya akakataa,mwisho wa siku akanyoosha maelezo.

wewe unadai wametuacha mbali sana,unajua mbali sana pakoje ndugu yangu!!!!usiandike mambo ya kusimuliwa hapa,wenzako wametembea na kuchunguza ndipo guts za kuanzisha huu uzi zikazaliwa.nairobi ilikuwa zamani bana.

wewe kalia wametuacha mbali sana.
 
kama unataka kunibadilisha uraia ni haki yako na utaweza kufanya hivyo kwenye mawazo yako tu ila kiuhalisia haitowezekana

hata hivyo sikulazimishi kuamini ninachojua wewe endelea kuamini hivyo unavyoamini kiongozi. Kwa taarifa tu nimepata bahati ya kutembelea hii miji yote dar na nair kwanza hakuna chochote cha kujivunia mnabishania upuuzi tu hapa

miji yote hii mi naona kawaida ni bora tukajadili vitu vingine mbona vya maana na vya kujenga ni vingi tu tunakomalia kubishania miji tulojengewa na wageni sijui mnaona fahari gani

mkimaliza hii mtakuja na nyuzi za kujilinganisha na misri johanesburg baadae paris na washington kabisa endeleeni tu kusapotiana uzwazwa haya ndiyo matunda ya wanasiasa wa EA
 
sasa kama umetembea miji yote ukaona ni kawaida,ulichokuja kushangaa hapa ni kitu gani???

mimi nilitegemea uje uandike hapa nairobi ina barabara nyingi na bora ambazo mtu hakai foreni kabisa si kama dar.

nairobi ina uchumi mkubwa hivyo maisha ni matamu sana hapo nairobi si kama dar.

simple logic hatukuiparamia joburg au cairo sababu hatuko league zao hata kwa kukaribia,ila siku ikifika utaona uzi hapa.
 
Back
Top Bottom