Simple quiz.. Give me one multi national company in Dar??
Kakasirika kuskia coca cola wameondoka kenya[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kakasirika kuskia coca cola wameondoka kenya[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Umeshafika Nairobi na ukatembea?wajemeni mimi ni mtanzania kulinganisha nairobi na dar ni kutaka sifa ambazo hakuna kiukweli wametuacha mbali mno wala tusibishane..tulinganishe vitu vingine tujifunze kukubali na kuwa wakweli labda si tuwatambie mahindi mchele hizo hawana ila miundombinu na majengo waache kabisa hatuwafikii kabisa huo ndo ukweli kwa sasa
Haha umetokea kijiji gani?watu mmechoka sanawajemeni mimi ni mtanzania kulinganisha nairobi na dar ni kutaka sifa ambazo hakuna kiukweli wametuacha mbali mno wala tusibishane..tulinganishe vitu vingine tujifunze kukubali na kuwa wakweli labda si tuwatambie mahindi mchele hizo hawana ila miundombinu na majengo waache kabisa hatuwafikii kabisa huo ndo ukweli kwa sasa
ndio unataka kusemajeUmeshafika Nairobi na ukatembea?
nimetoka kolomije[emoji23]Haha umetokea kijiji gani?watu mmechoka sana
nimetoboa mpaka torit, juba huko s sudan una jipya la kuniuliza au ndo unataka kunioshea[emoji23][emoji23]Haha umetokea kijiji gani?watu mmechoka sana
Watanzania hatuumii wajemeni!wajemeni mimi ni mtanzania kulinganisha nairobi na dar ni kutaka sifa ambazo hakuna kiukweli wametuacha mbali mno wala tusibishane..tulinganishe vitu vingine tujifunze kukubali na kuwa wakweli labda si tuwatambie mahindi mchele hizo hawana ila miundombinu na majengo waache kabisa hatuwafikii kabisa huo ndo ukweli kwa sasa
baki hivo hivo sitafuti sifa wala sisifii wakenya ila ukweli wenyewe ndo huo sitaki kujivisha sifa za uongo eti dar imeizidi nairobi ni uongo hata Mungu hapendi tembea uone mkali achana na porojo za watu wengi wanagugo picha wanatupia nenda kashuhudie mwenyewe utuletee mrejesho humu siyo kila mahali ni pazuri nairobi ila kwa sehemu zilizojengwa zimejengeka hasa mbona hata wao wana mapungufu kibaaao kwa mfano mapishi sufuri yani amna kila kituWatanzania hatuumii wajemeni!
Tafuta cha kufanya!misosi ya kubangaiza ghali kinoma mamanze zao wengi wachafu na washamba ila hili la miundombinu give em a brake man hatuwafikii
kwani umeambiwa sina cha kufanyaTafuta cha kufanya!
Geza unatema povu...na mwenzio kaamua kuusema ukwel...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tafuta cha kufanya!
Kweli kabisa bro...wao hutaka kuikosoa nairobi kisa kibera...watu huaga hawafanyi comparison kihivo...waangslie pia na mazuri ya nairobi sio ji mtu linakomalia na mapungufu ya mwenzie hku akijilinganisha na mazuri ya kwake...kwani umeambiwa sina cha kufanya
shauri zao maendeleo hayaletwi kwa chuki wala kusema uongo bali maono na mipango sijui waliiba akili zetu imagine mpaka leo tunawaza kuja kuendelezewa miundombinu na wageni chinese people sijui tutasonga liniGeza unatema povu...na mwenzio kaamua kuusema ukwel...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli kabisa...yani wengine hapa jf wapo kishabiki...shauri zao maendeleo hayaletwi kwa chuki wala kusema uongo bali maono na mipango sijui waliiba akili zetu imagine mpaka leo tunawaza kuja kuendelezewa miundombinu na wageni chinese people sijui tutasonga lini
siogopi mtu kwenye kusema ao raia ndo kina nani kuna pimbi ananilishaKweli kabisa bro...wao hutaka kuikosoa nairobi kisa kibera...watu huaga hawafanyi comparison kihivo...waangslie pia na mazuri ya nairobi sio ji mtu linakomalia na mapungufu ya mwenzie hku akijilinganisha na mazuri ya kwake...
Asante sana kw kuusema ukwel...ila kw hilo ukubali kutukanwa..nakwambia wazalendo wakija hapa utavuliwa mpka uraia
kumbuka hata uipige vita dar au nairobi siyo ndo kuendeleze sehemu nyingine weka facts zinazokubalika atayepinga labda atakuwa na lake ila kusema unalalia godoro kwako wakati unaangusha kwenye bonge la mkeka kila siku siyo kwamba ndiyo uzalendo ni unafiki tu na kussapoti wanasiasa uchwara na kwa hili hatuwezi songaKweli kabisa...yani wengine hapa jf wapo kishabiki...