Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahahaaa
IMG-20190519-WA0003.jpeg
 
Hili jambo limekuwa kubwa kiasi hichi duh sasa naona Kenya na Nigeria wanakimbizana kwenye matukio ya wizi

Bt hongereni now ni wakati wa waafrica kuwaliza waarabu
😀 Hakuna cha kuwapongeza hapo, huo ni utapeli wa kishamba sana. Ingetakiwa wawachezee chezo moja ambalo wangeshindwa hata kunyanyua mdomo kuwalaumu.
Kwa mfano labda kuwapa Gold bure na kurusha ndege kwenye viwanja vyao na anga bila charge yoyote na punde wanapoingia kingi unaongeza ruti kama mia ivi
 
Hahahahahaaa ngoja tuone mwisho wa uhuni unakuajee!!!hahahahahàaView attachment 1102560
Acha nao wapigwe, hivi wameshindwaje kuja Tanzania kuchukua dhahabu kwenye masoko yetu? Kenya toka lini wakawa na dhahabu, ni kweli walikuwa ni wauzaji wazuri wa dhahabu East Africa kutoka Tanzania lakini that's the history.
 
Hii picha ya Sumbawanga huwa inaivua nguo Dar na miji mingine linapokuja ishu ya mipango miji,kama swax imepangika vizuri na watu wakajenga hizo dream house zao za corrugated iron sheets kwa nn Dar the whole city z slum afu watu wanajitetea et unplanned settlement!
Unfortunately Tanzania inatia kichefu chefu sana,ukiwa Dodoma eti capital sita ni uswazi na slums everywhere just look at nkonze,mail mbili,mnadani yaani Tzn mnatia kichefuchefu.Why don't you plan yr towns just like yr fellow Kenyans,Malawi,Zambia mnaishi Kama nguruwe just shangharabaghala,mna shida kichwani nyie sio bure
 
Kwanza angalia nyumba zilivopangwa budaa👏👏👏👏👏
Kumbe na wewe unapenda mpangilio,kilichosababisha msipange the whole dar is slum ni nn hadi inaita unplanned sijui informal settlements wakati you know for sure that yr city a mega slum? Pangeni miji afu ndo mjenge hizo dream house zetu.
Hapo mjini pako planned Sasa piga picha ya nje ya mji kwenye new devlpnnt uone kinachoendelea,bongolalas mnashida kichwani it seems you enjoy much living like piglets rather than in decent setlements
 
Acha nao wapigwe, hivi wameshindwaje kuja Tanzania kuchukua dhahabu kwenye masoko yetu? Kenya toka lini wakawa na dhahabu, ni kweli walikuwa ni wauzaji wazuri wa dhahabu East Africa kutoka Tanzania lakini that's the history.
Turuu turuuu turuu hapo john bichwa nampongeza na kumtaka afanye zaidi kudhibiti Kenya maana wezi wanao ihibia tz wanajificha Kenya na kuwekeza kenya
 
Back
Top Bottom