Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lake Ngozi
View attachment 1101728
Nimeona niiweke hii ili watu wakuelewe unamaanisha nini.
crater lake mt kenya
1102166
 
Kukopa raha sana mda wa kurejesha ndio majanga
😂😂😂 Wale Washenzi hawakupi mpunga mpaka wajue una muscles za kuulipa, sasa Tanzania wanaiona ina potential nyingi huko mbele kama tourism, East African pipeline kutoka Uganda, natural gas na minerals nyingine, bandari etc kwa hiyo wanajua hapa mpunga upo
 
Wale Washenzi hawakupi mpunga mpaka wajue una muscles za kuulipa, sasa Tanzania wanaiona ina potential nyingi huko mbele kama tourism, East African pipeline kutoka Uganda, natural gas na minerals nyingine, bandari etc kwa hiyo wanajua hapa mpunga upo
Yeah uko sahihi...uwezo wa kurejesha upo,Na vp hayo mabenk hutoa wap fedha? Vyanzo vyao ni vp hasa
 
Ni government organisations kubwa za kimataifa ndio yanayoweka fedha kwenye hizi Bank kama AfDB ili ziwe circulated kwa borrowers, mfano hii AfDB ilianzishwa miaka mingi 1950s na OAU kwa nia ya kuwezeshana nchi za kiafrika lakini baadae masharti yakabadilika tukaingiza nchi nyingine nje ya Africa ili zimwage mpunga sababu demand ni kubwa kuliko supply ya bank

Hapo ndio UK, USA, Japan, France, Germany Italy etc nao wakaingiza pesa kwenye Bank ili kukuza equities na bonds kwa wingi na kuiwezesha kutoa loans vizuri at the same time wanamake profits

WB ilianzishwa baada ya world war ll ili kurecover athari za machafuko baadae ikawekwa kwaajili ya nchi masikini nayo equity yake ipo hivyo hivyo tu kama AfDB ni business tu ila WB Rais wa US ndio mwenye maamuzi makubwa, huku AfDB wapo wenye maamuzi kwenye board of directors wenye hisa kubwa, Nigeria anaongoza.
 
Hapa nimepata darasa safi kabisa, shukran!!
 
Back
Top Bottom