YapHapa nimepata darasa safi kabisa, shukran!!
green ngima ni good lookingNgorongoro crater lake
![]()
Tokyo tunapajua
Hapa ni wapi mrembo??? Ikiwa hapo ni nairobi leo leo nafunga account jamii forum😆😆😆😆😆😆
Hiyo nayo ni tower? Au ni towel nmekosea kusoma?Mombasa new towers
View attachment 1102411
Nani kasema hapo ni Nairobi au dar?Tokyo tunapajua
So unapost hapa ili iweje au unataka kudanganya watu kiaina😆😆😆😆Nani kasema hapo ni Nairobi au dar?
Picha kalii 🔥
Huyu ni muongo mzoefu umeona alivyoruka kininjaSo unapost hapa ili iweje au unataka kudanganya watu kiaina![]()


Dar es salaam👇👇👇👇View attachment 1102535Karura, Nairobi