Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii picha ya Sumbawanga huwa inaivua nguo Dar na miji mingine linapokuja ishu ya mipango miji,kama swax imepangika vizuri na watu wakajenga hizo dream house zao za corrugated iron sheets kwa nn Dar the whole city z slum afu watu wanajitetea et unplanned settlement!
Unfortunately Tanzania inatia kichefu chefu sana,ukiwa Dodoma eti capital sita ni uswazi na slums everywhere just look at nkonze,mail mbili,mnadani yaani Tzn mnatia kichefuchefu.Why don't you plan yr towns just like yr fellow Kenyans,Malawi,Zambia mnaishi Kama nguruwe just shangharabaghala,mna shida kichwani nyie sio bure
😆😆😆😆😆👇👇👇👇👇ukileta porojo leta na ushahidi

 
Kumbe na wewe unapenda mpangilio,kilichosababisha msipange the whole dar is slum ni nn hadi inaita unplanned sijui informal settlements wakati you know for sure that yr city a mega slum? Pangeni miji afu ndo mjenge hizo dream house zetu.
Hapo mjini pako planned Sasa piga picha ya nje ya mji kwenye new devlpnnt uone kinachoendelea,bongolalas mnashida kichwani it seems you enjoy much living like piglets rather than in decent setlements

Ukileta porojo njoo na ushahidi😆😆👇👇

 
Road Expansion


IMG_0022.JPG



IMG_0023.JPG



IMG_0024.JPG



IMG_0025.JPG



IMG_0026.JPG
 
Haaa kumbe kuna kitu Mount Kenya? Why you guys don’t promote This Mountain instead you keep your eye on Mt Kilimanjaro
Who knows Mt Kenya? While the numbers to Mt Kilimanjaro keep skyrocketing, the funny thing is their belief they benefit out of deceiveness tricks! God should have mercy on them!
 
Back
Top Bottom