Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leta evidence kwamba Sonko ameiba Mali ya Umma ,kama Ile evidence ya CAG ,Umma ulipoteza 1.5 trillion.
Hakuna sehemu serekali ya tanzania imepoteza 1.5 trillion hakuna na hutapata
Au unafkiri kununua ndege 6 kwa pamoja is a joke au tulipewa ndege bure๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Soma hiii ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

 
Lakini pia nadhani kuna haja ya kuandaa ideas halafu zifikishwe kwa wahusika, kwa mfano hili uliloongea mkuu ni point kubwa sana coz kama uliifuatilia project ya New Kigamboni inafafanua kwamba Jiji la kitalii, kwa maana hiyo that Idea is quiet cool, lkn shida pale ni lile li ferry maji yanachafuka n bad smell too, how will that be solved? Halafu pia nime note humu ndani kuna watu wana idea kubwa sana big up Tz
shua mkuu
 
Niliwahi kusoma gazetini kuwa kwanza wanataka kuhamisha soko la samaki coz moshi huwa unaenda hadi state house. Pesa inaongea.... ikiwepo pesa hilo eneo linaweza kuwa transformed vizuri sana, haijalishi matatizo yaliyopo sasa tena ikiwepo ferris wheel hapo, future Kigamboni financial city kutakuwa na view nzuri sana. Nitajaribu kuchora idea yangu then nitapost pic๐Ÿ˜€๐Ÿ˜Ž
ni kweli mkuu ile ferry hainogi inaharibu movement za ubora kwa harufu za shombo
 
Tear Gass(nafikiri ni code +254) kaanzisha uzi wa barabara za Tanzania vs Kenya. Tumewachapa kwa network nzuri nchi nzima. Wao hawana kitu. Wameweza kuongoza kiduchu kwa mjini Nairobi hasa kwenye makutano na barabara yao moja ya Thicka,ambayo imerudiwa mara 600 kuwekwa kwenye huo uzi.
hiyo ndiyo barabara yao kuu yakuishow kwani huwa hawanaga nyingine kikubwa wazoee hao ndiyo wazee wa thika high way. ukimaliza hapo kote ni chaka
 
Hakuna sehemu serekali ya tanzania imepoteza 1.5 trillion hakuna na hutapata
Au unafkiri kununua ndege 6 kwa pamoja is a joke au tulipewa ndege bure๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Soma hiii ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

kwhyo watanzania wamuani nani...CAG au kibaraka wa ccm jichoboy
 
Alaf utaskia hao hao wataiuzia serekali mara ya pili๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

 
kwhyo watanzania wamuani nani...CAG au kibaraka wa ccm jichoboy

Kwanza unajiskiaje ukiskia ofisi ya rais itatumia 500m ksh kila Mwezi ambayo ni 6b ksh per year alaf 11.2b ksh kwa ajili ya mshahara wa bwana mkubwa , hvi ni kweli wewe una ndoto bado ya kumiliki ardhi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

 
Jamani kenyatta ajitokeze hadharani๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

 
๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

 
Back
Top Bottom