LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Central Park, Nairobi
Tanzania hakuna ufisadi hayo mambo yapo Kenya tu hizo pesa zimetumika kihalali kabisa.ichoboy..wacha kunidanganya hapa...CAG kasema matumizi yake hayajulikani...usitake kujichanganya...sasa km matumizi yake hayyajulikani ziko wapi...
Kwan mm nakwambia nn hapa nimekwambia haikutekelezwa ndani ya budget kwa sababu rais alitumia mamlaka yake kama emergency budget kununua ndege na kujenga modern electric rail in africa cash dealichoboy..wacha kunidanganya hapa...CAG kasema matumizi yake hayajulikani...usitake kujichanganya...sasa km matumizi yake hayyajulikani ziko wapi...
Tanzania hakuna ufisadi hayo mambo yapo Kenya tu hizo pesa zimetumika kihalali kabisa.
Kwan mm nakwambia nn hapa nimekwambia haikutekelezwa ndani ya budget kwa sababu rais alitumia mamlaka yake kama emergency budget kununua ndege na kujenga modern electric rail in africa cash deal
Alisema zilitumika nje ya budget na hazijulikani zilifanya kazi ipi,Bunge lenu dhaifu kazi ni kupiga tu makofi haliwezi likahoji serikali kuu inapoibia umma.Inaonesha CAG hukumuelewa au nikueleweshe kidogo alisema 1.5 trillion zilitumika nje ya budget iliokusudiwa na zilitumiaka kwa mamalaka ya rais kama emergency budget na ndio zilinunua ndege na malipo ya awali ya SGR
Kwanza nyie Ndio mnaibiwa kuliko hata Sisi na hamna uwezo wa kulitambua Hilo.Hii ndio zawadi Mungu aliwapa
bwahahaaa...kwani CAG kashindwa na nn kusema hvo unavyosema......kwahyo umeamua kumsemea CAG...Kwan mm nakwambia nn hapa nimekwambia haikutekelezwa ndani ya budget kwa sababu rais alitumia mamlaka yake kama emergency budget kununua ndege na kujenga modern electric rail in africa cash deal
bwahahaaa...kwani CAG kashindwa na nn kusema hvo unavyosema......kwahyo umeamua kumsemea CAG...
bwahahaaa...sasawa msemaji wa ofisi ya CAG
Sonko is and was never a drug dealer, you can take that to the bank and be cashed out if possible.You should say He was a drug dealer. Mbona unapindisha maneno. Kenya is the only country where drug traffickers becomes leaders
Kwanza nyie Ndio mnaibiwa kuliko hata Sisi na hamna uwezo wa kulitambua Hilo.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Duh! Upepo unamezwa?Report ya last yr hyo, tushasogea zaidi ya 1000+km meza upepo
Unauliza zilifanya kazi ipi kwani ndege hzo tulienda kuchukua bure na hio modern electric bullet train tunajengewa bureAlisema zilitumika nje ya budget na hazijulikani zilifanya kazi ipi,Bunge lenu dhaifu kazi ni kupiga tu makofi haliwezi likahoji serikali kuu inapoibia umma.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Alisema zilitumika nje ya budget na hazijulikani zilifanya kazi ipi,Bunge lenu dhaifu kazi ni kupiga tu makofi haliwezi likahoji serikali kuu inapoibia umma.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app