Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tared.jpg
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] june china july south africa

Nyang'au walisema hizi ni ndoto Za mchana [emoji3][emoji3]hasa sijui wanakwama wapi. ..

Lakini tunajiandaa kuweka order ya Airbus zingine mbili uku tukisubiri ujio wa dreamliner ingine moja...
Wameshajua hawajui
 
View attachment 1096808
Hapa JPM akiishahamia Chamwino apige daraja la adabu kuunganisha Kigamboni na CBD alafu unapita Barack Obama Drive straight to New Salender Bridge.
unajua hiyo waterfront hapo mbele wanaweza kuifanyia kitu cha maana? kwa upande wangu naona wasijenge daraja maana likijengwa daraja hapo litakuwa refu sana ili kupitisha meli za mizigo chini. Pesa ikiwepo na investment ikiwezekana mi naona wajenge tunnel halafu hapo kwenye lighthouse wangeweka kitu kama Ferris wheel kama London eye, patakaa poa sana yaani ni kivutio na pia kitaingiza pesa. Singapore, london, Las vegas, Tokyo wamefanya hivyo na kiukweli hawajakosea
Singapore
singapore-flyer.jpg
SIN-la-grande-roue-de-singapour-une-vue-a-360-degres-2_1-1024x512.jpg
105066394-GettyImages-498350103_1.1910x1000.jpg
 
unajua hiyo waterfront hapo mbele wanaweza kuifanyia kitu cha maana? kwa upande wangu naona wasijenge daraja maana likijengwa daraja hapo litakuwa refu sana ili kupitisha meli za mizigo chini. Pesa ikiwepo na investment ikiwezekana mi naona wajenge tunnel halafu hapo kwenye lighthouse wangeweka kitu kama Ferris wheel kama London eye, patakaa poa sana yaani ni kivutio na pia kitaingiza pesa. Singapore, london, Las vegas, Tokyo wamefanya hivyo na kiukweli hawajakosea
Singapore
View attachment 1096844View attachment 1096845View attachment 1096846
Lakini pia nadhani kuna haja ya kuandaa ideas halafu zifikishwe kwa wahusika, kwa mfano hili uliloongea mkuu ni point kubwa sana coz kama uliifuatilia project ya New Kigamboni inafafanua kwamba Jiji la kitalii, kwa maana hiyo that Idea is quiet cool, lkn shida pale ni lile li ferry maji yanachafuka n bad smell too, how will that be solved? Halafu pia nime note humu ndani kuna watu wana idea kubwa sana big up Tz
 
Niliwahi kusoma gazetini kuwa kwanza wanataka kuhamisha soko la samaki coz moshi huwa unaenda hadi state house. Pesa inaongea.... ikiwepo pesa hilo eneo linaweza kuwa transformed vizuri sana, haijalishi matatizo yaliyopo sasa tena ikiwepo ferris wheel hapo, future Kigamboni financial city kutakuwa na view nzuri sana. Nitajaribu kuchora idea yangu then nitapost pic😀😎
 
Tear Gass(nafikiri ni code +254) kaanzisha uzi wa barabara za Tanzania vs Kenya. Tumewachapa kwa network nzuri nchi nzima. Wao hawana kitu. Wameweza kuongoza kiduchu kwa mjini Nairobi hasa kwenye makutano na barabara yao moja ya Thicka,ambayo imerudiwa mara 600 kuwekwa kwenye huo uzi.
 
Back
Top Bottom