Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Hilo jengo usemalo sio Britam ila ni KCB headquarter maana katika hio picha sioni UAP tower sasa ina maana ni kcb tower maana ndio lililojengwa la Kwanza.2013 imeanza na kwenye hio pic inaonekana ishafika over half of the construction inamaanisha ilikua 2016View attachment 1094689View attachment 1094690



