tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Iko chini ya wizara ya ujenzi na uchukuzi ikisimamiwa Na TAMISEMI yeye kazungumza tu maana ni mradi ndani ya mkoa anaongozaHaliwezi kutatuliwa chini ya uongozi wa Yule sharobaro yeye kazi kuu yuaifanya ni kutafuta Kiki tu, Dar yahitaji kiongozi sio yule mzee.

