Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Good explanation, understood.TA=Tawala
MI=Mikoa/counties
SE= Serikali
MI= Mitaa
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.
Good explanation, understood.TA=Tawala
MI=Mikoa/counties
SE= Serikali
MI= Mitaa
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.
Hio wizara ina kazi kubwa sana kwenye nchi hii nakushauri ingia google andika wizara ya tamisemi utapata hostoria nzimaOkay ila hujanieleza hio wizara kazi yake ni nini?.
Hamna ukweli hapo maana miaka mitatu sasa hatujakua na mafuriko huku kwetu.
That's normal water on the road,Kwanza ngong road is under construction, same with ojijo road , umeaona wapi watu wakiogelea kama Dar?.
Leta evidence kwamba Sonko ameiba Mali ya Umma, kila mara nakwambia uwache story za kijiweni mlizo ambiwa na Babu na Bibi zenu hausikii.
That's empty rhetoric, you don't have substantive evidence to support your lies.Pia ni don wa ngada
That's normal water on the road,Kwanza ngong road is under construction, same with ojijo road , umeaona wapi watu wakiogelea kama Dar?.
Kwenye hio clip ameonesha ngong na ojijo road ambazo bado zipo kwenye ujenzi wala hujaona mtu yeyote akiogelea ama nyumba za watu kua submerged kama ilivyo ada huko kwenu.Njoo ukatae kua hapa sio Nbo Engineer davido
Kumbe ni Nairobi mbona maelezo ni mengi sanaKwenye hio clip ameonesha ngong na ojijo road ambazo bado zipo kwenye ujenzi wala hujaona mtu yeyote akiogelea ama nyumba za watu kua submerged kama ilivyo ada huko kwenu.

MashaAllahHuyo jamaa ni mkora mmoja wa uchago, hajui nini kinaendelea nairobi currently.



Wanapokwama ni pale unaposkia 64% ya GDP yao yote ni madeni yasioweza kulipika huku miradi mingi iliojengwa na fedha za mikopo zimegeuka kua white elephant😆😆@janerose njoo hapa mlete na @teargas nasikia ndio mnaongoza kwa budget kubwa ya elimu hapa EAC Engineer lev mnakwama wap ?
Ungeeleza tu kama joto la jiwe alivyofanya,si kazi ngumu maana huku kwetu pia tuna wizara hio inaitwa ministry of interior and coordination of national government under the office of the president. Ikiongozwa na Matiang'i.Hio wizara ina kazi kubwa sana kwenye nchi hii nakushauri ingia google andika wizara ya tamisemi utapata hostoria nzima
Subutu tuone.Subutu yako usitake nikuaibishe bure
Is that the evidence you want to rely on to submit your case?.ushawah jiuliz pesa hzo alitoa wapi???
Sonko alipata hela kabla akue mbunge wa makadara ,he was wealthy before he joined politics .ushawah jiuliz pesa hzo alitoa wapi???
Maana Una ugumu wa kwelewa lazima maneno yawe mengi .Kumbe ni Nairobi mbona maelezo ni mengi sana![]()
Ahahhaa wewe unaona nn hio 😆😆😆Is that the evidence you want to rely on to submit your case?.
Sonko alipata hela kabla akue mbunge wa makadara ,he was wealthy before he joined politics .